Migomo vyuo vikuu imeangusha serikali; Marekani siyo kisiwa, la sasa halimwachi salama!

Kuna siku nilisema na naendelea kusema. Ni university tu ndio tunategema mkusanyiko mkubwa wa critical thinkers na wasomi wa hali ya juu, hivyo ndivyo ilivyo kwenye vyuo vikuu vya wenzetu. Wanafunzi wanabeba ideologies za maprofessor nguli na kuwa assimilated na hawa ndio wanakuwa change agent. Sasa jiulize unaweza kuwa assimilated au kubeba ideology ya professor ambaye anasema for his entire life ya chuo kikuu , more than 25 years kama mkuu wa idara alikuwa anakaa jalalani? Kwa kweli nilisikika sana

1. Uko sahihi ndugu tuko pamoja kwenye Hilo.

2. Ukombozi unahitaji sacrifice siyo ujanja ujanja ya kina Allen Kilewella, ruzuku, maslahi binafsi na vya namna hiyo.

3. Chama Cha ukombozi kinafanya siasa za ujanja ujanja? Hakuna kinachosimamia. Tunafika namna gani tusikokujua?

CHADEMA kukosa neno, utawala wa Sheria Migomo Marekani; ni Pigo kwa Chama, na pia kwa Ukombozi!

4. Yatakapowakuta na ambayo si muda mrefu, Kula itakuwa, kule ilikopelekwa mboga!
 
Mkuu mpaka sasa hivi wakufa waandamanaji wangapi?

1. Kuzuia free expression haikubaliki.

2 Kwani katiba ya mrekani kwenye Hilo inazidiwa Hadi na yetu.

3. Kama katiba yao hairuhusu uhuru wa kutoa maoni, labda mkuu waje kujifunza kwetu?

4. Hudhani kamanda Muroto kuwa wa msaada sana kwao?
 
Back
Top Bottom