Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,710
- 84,533
Hapa suala siyo mimi kuwa na mtoto wa kiume au ndugu wa kiume suala hapa ni kujadili uhalisia je ubaya wa 50/50 uko wapi, maana hadi sasa sijaona mahali ulipoongelea ubaya wa 50/50 zaidi ya malalamiko tu juu ya wanawake, by the way kwani walioanzisha the whole agenda in the first place ni jinsia ganiNdoa hazidumu sababu shida ni kote kote bado jamii ya kike na kiume hazija kubaliana na mfumo wa 50/50. Leo hii unaongea hivyo kesho utakuwa na mtoto wa kiume si ajabu unaye tayari hii ishu ya 50/50 hata yeye ita muumiza tuu si ajabu siyo mtoto tuu hata kaka au ndugu wa karibu wa kiume najua naye ana pitia changamoto juu ya wanawake wa sasa hivi hasa hawa wanao shupalia 50/50.
Kuhusu Agenda zipo na zitaendelea kuwepo, jaribu kuangalia yanayo endelea duniani kwa jicho la 3.
Fikirisha ubongo kidogo