Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

I like you stories, very impressive, can't get tired, yaaani kila page ikiisha natamani kuendelea zaidi, hongera sana mkuu, THE BOLD.
 
hongera sana muheshimiwa THE BOLD, wanaadamu kama albert spaggiari nahisi kila siku wanapungua,kiukweli sijidharau ila ningelichukua miaka 100 kutengeneza plani kama ya huyo jamaa,hii ni makala yako ya nne mimi kusoma tokea nijiunge jamiiforums ikiwemo ile ya D.B COOPER,na leonardo davinci na pamoja na ile ya mfanya biashara ya madawa ya kulevya.je munaweza kunipa link zenye kuhusiana na chambuzi kama hizi zilizoanzishwa
 
Nadhani hizi mbili haujazisoma bado:

1. Tukio la Ujambazi lililofanikiwa zaidi, kusisimua na kuushangaza Ulimwengu

2. Historia ya kweli ya jambazi msomi na aliyefanikiwa zaidi katika azma yake
 
Wakati bongo zetu zinawaza kuandika tungo za kiwaki na kipuzi kama "akunaga ushemeji tunakula.." Kuna watu bongo zao walikua na wanazitumia kwa vitu ya mantiki.. Mda mwngine waga naweka pemben chuki zangu juu ya hawa watu weupe, wamejaliwa bongo zilizoshiba malifa kiukwel
Dunia ya Mungu ila vitu vya mzungu...achana na hyo kitu nyeupe aisee
 
Ili tukio nalifananisha na tukio lililotokea Brazil,ambapo jamaa walichimba tunnel kutokea kwenye vault ya bank na kubeba mkwanja wote.

Baadae wahusika wote walikamatwa kasoro yule plan master ambae mpaka leo serikali haijamjua ni nani.
 
Kuna watu wanatumia akili zao habakishi hata kidogo. Ila kati ya wote namkubali sana D.B Cooper, yule akili yake haikuwa ya dunia hii
 
Back
Top Bottom