Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

Ama kweli usimdharau usiyemjua...
Hii pia imenifanya nitafakari 'vita' kubwa iliyokuwepo baina yetu (author The bold & I) mwaka jana.
Siamini kama ungekuja kuwa mtu ninayeheshimu masimulizi yake namna hii.
Nasikitika sikuona uwezo wako mkubwa wa akili kwa kipindi kile...
Leo hii wewe ni mmoja kati ya watu ninaowaheshimu sana humu JF.

Hivyo basi....mkasa wa Spaggiari sio tu kwamba umeniburudisha,umenifunza pia.
Heshima kwako The bold
mimi nilianza kumwamkia shikamoo kwenye issue ya Mbasha na Gwajima!
 
Hahaha!! Kwa kweli umekosa Mengi.. Ila mimi licha ya ule 'uadui' nilikuwa nafuatilia sana post zako
Nimeyafuta makosa yangu...nimetumia takribani masaa mawili kufuatilia yale niliyoyakosa.

Moja wapo ni kuhusu matapeli wa5 waliowahi kutokea Tzee.
Ila mbona unapenda story za kitapeli sana?

Basi tunatofautiana...mimi ukishakuwa 'adui' yangu kama vile sikufuatilii kwa lolote.
Itabidi nibadilike aiseeee .
 
Ila sijui kwanini napenda stori za dizaini hiyo! Sijui nina 'upako' wa ushushushu
 
Back
Top Bottom