Ukisikia usanii ndio huu sasa. Umeme ni wa mgao kwasababu inasemekana watu washafungulia maji huko mtera japo Mama na Tanesco yake wanadai ni service ya mitambo.
Mama kawapa Tanesco miezi 6, kwa hesabu zangu miezi 6 ikiisha na mvua zitakuwa zinanyesha so hakutakuwa na maajabu yoyote maana mabwawa yatakuwa yamejaa. Usanii ni mwingi.
Pia Bwawa la Mwl Nyerere litakuwa kazini wakati huo