mie mgeni ila nimevutiwa na love connect huwa nacheka sana mpaka basi!!!

Anne Maria

JF-Expert Member
Mar 22, 2012
399
98
napenda funny comments zafanya siku yangu iwe njema,, sitafuti mchumba wala mume wala mpenzi,, ila napenda kupata rafiki wa kucheka nae tuuuu,,,, cheeers!!!
 
Love connect, halafu unatafuta rafiki wa kucheka nae tu!!........Aisee hapa sijakuelewa ngoja wenyewe wenyeji wa hapa waje.
Nilikuwepo!!....
 
kwani love connect hairuhusiwi kuwa na mtu wa kucheka nae tuu,, teh teh teh teh,,, unanitisha unavyosema waje wenyeji wa hapa,, ni kamsuto nini??? mmmhh haya basi ngoja nisepe labda nilikosea eeehh???
 
Mbimbinho.. jina lako tuu limeshanifurahisha ondoa shaka nitaku pm basi teh teh teh teh
 
inamaana bado una muda wa kuchekacheka na mtu duuh! Ebu nichekeshe nione maana nchi hii inaniuma.
 
Wallahi hili ni jina la my wife wangu, could it be u ? madame
 
inamaana bado una muda wa kuchekacheka na mtu duuh! Ebu nichekeshe nione maana nchi hii inaniuma.

khaaa sasa wewe mie sio comedian jamani nimesema tuu am easy to laugh at good joke,,, kucheka ni lazima uchekeshwe na kuchekeshwa kwaja na topic jamanii,,, teh teh teh teh..... ila pole kwa kuumizwa na tanzagiza.... hamna nchi hapa!!!
 
Karibu mgeni ila kuna jukwaa la jokes (lipo hapa JF) nadhani litakufaa zaidi, ila sio mbaya ukipata mtu mcheshi it can lead to something more (ila naogopa siku ukimpata ukishasikia jokes zake zote usije ukampiga chini)

Anyway hutafuti sababu umepata au bado hujaona wa kukufaa au unae tayari.., Samahani kwa maswali lakini ucheshi nao ni character ambayo inaweza ku-lead to love.., (usicheze na issue za moyo mara nyingi bila kujitambua hujikuta tumefall)
 
napenda funny comments zafanya siku yangu iwe njema,, sitafuti mchumba wala mume wala mpenzi,, ila napenda kupata rafiki wa kucheka nae tuuuu,,,, cheeers!!!

Jamani Anne, Mbona kama nahisi kukupendapenda hv! Ni PM basi nikupe full vichekesho, utapenda mwenyewe wala hutompenda mtu mwingine isipokuwa mimi tu. Plz.
 
Karibu mgeni ila kuna jukwaa la jokes (lipo hapa JF) nadhani litakufaa zaidi, ila sio mbaya ukipata mtu mcheshi it can lead to something more (ila naogopa siku ukimpata ukishasikia jokes zake zote usije ukampiga chini)

Anyway hutafuti sababu umepata au bado hujaona wa kukufaa au unae tayari.., Samahani kwa maswali lakini ucheshi nao ni character ambayo inaweza ku-lead to love.., (usicheze na issue za moyo mara nyingi bila kujitambua hujikuta tumefall)

Sun wu!!! u a live in china ama wapenda tuu chinese stuff!!jokes!! ok thanks ntalicheki hilo jukwaa la jokes,,
sina kitu kinaitwa love life or stuff like that,, siamini hayo mambo watu wanayaita love kama yanaexist, dont ask me if i have ever been in love!!! bt i was passing hizi jukwaa to enjoy and laugh at really funny comments!!! cheers!!
 
Coment yako imenifanya nimkumbuke yule mtoto ambaye aliigiza kwenye lile tangazo la haki elimu SIDANGANYIKI lakini cha kushangaza mwaka jana nilimuona na mimba na sidhani hata kama alifanikiwa kumaliza shule!!......I think you know what i mean.
 
Sun wu!!! u a live in china ama wapenda tuu chinese stuff!!jokes!! ok thanks ntalicheki hilo jukwaa la jokes,,
sina kitu kinaitwa love life or stuff like that,, siamini hayo mambo watu wanayaita love kama yanaexist, dont ask me if i have ever been in love!!! bt i was passing hizi jukwaa to enjoy and laugh at really funny comments!!! cheers!!
Ha ha haa I don't like the person lakini I like some ideas behind the; Art of War "By Sun Tzu"..,

Anyway kabla hujakutana nayo (mambo ya Love) huwezi kuyaamini lakini believe me kila mtu anazo affection, ukimpa mtu upenyo roho itakubali tu utake usitake.., na huwa yanaanza pole pole bila wewe kujua :)
suntzu10_1024.jpg
 
kwani love connect hairuhusiwi kuwa na mtu wa kucheka nae tuu,, teh teh teh teh,,, unanitisha unavyosema waje wenyeji wa hapa,, ni kamsuto nini??? mmmhh haya basi ngoja nisepe labda nilikosea eeehh???

Mwayego usiondoke, jikaliage tuuu. Mimi huyu ushanipata ngoja nikupiemu rafiki
 
khaaa sasa wewe mie sio comedian jamani nimesema tuu am easy to laugh at good joke,,, kucheka ni lazima uchekeshwe na kuchekeshwa kwaja na topic jamanii,,, teh teh teh teh..... ila pole kwa kuumizwa na tanzagiza.... hamna nchi hapa!!!
[h=6]: Husband buys a dozen of same-colour pants for his wife. Wife,protesting ," Ah! Why buy the same colour? People will think I never change my panties"! Husband: "Which People?". Total Silence!! Pls help this woman to answer this all important question now. Which people?
Hmm..:x[/h]
 
Back
Top Bottom