mie mgeni ila nimevutiwa na love connect huwa nacheka sana mpaka basi!!!

: Husband buys a dozen of same-colour pants for his wife. Wife,protesting ," Ah! Why buy the same colour? People will think I never change my panties"! Husband: "Which People?". Total Silence!! Pls help this woman to answer this all important question now. Which people?
Hmm..:x
teh teh teh ahjajajaj,,,, wife replies" oohh my love si you know nikienda home kuwatembelea wazazi nalal na wadogo zangu so watashangaa mbona dada panta hiyohiyo kila siku wakati nabadilishaaaa..."" aaaa hahahhaha
 
khaaa sasa wewe mie sio comedian jamani nimesema tuu am easy to laugh at good joke,,, kucheka ni lazima uchekeshwe na kuchekeshwa kwaja na topic jamanii,,, teh teh teh teh..... ila pole kwa kuumizwa na tanzagiza.... hamna nchi hapa!!!

Kweli ni tanzagiza hadi kichwa kinauma! I need to refresh.
 
Coment yako imenifanya nimkumbuke yule mtoto ambaye aliigiza kwenye lile tangazo la haki elimu SIDANGANYIKI lakini cha kushangaza mwaka jana nilimuona na mimba na sidhani hata kama alifanikiwa kumaliza shule!!......I think you know what i mean.

hahahha i believe u,,, i got ur point kabisaaa and i agree..... sex is always there but loveee???mmmhhh!!!:juggle:
 
Kweli ni tanzagiza hadi kichwa kinauma! I need to refresh.
yeah refresh.... give urself some fresh air... besides life aint waiting for u so enjoy while u still have a breath to breathe:smile:
 
Jamani Anne, Mbona kama nahisi kukupendapenda hv! Ni PM basi nikupe full vichekesho, utapenda mwenyewe wala hutompenda mtu mwingine isipokuwa mimi tu. Plz.

rifwima teh teh teh etiii eehh unahisi kunipendapenda eeehh teh teh teh,,, u make me laugh even more khaaa,,, haya ntakupm basi ila kasema nani mie nampenda mtu jamanii hahhahaha:A S-cry:
 
Hv haya maisha yalvo magumu bado 2 kuna wenze2 wao wanawaza kucheka cheka ka yule taahira wa pale magogon?
 
Hv haya maisha yalvo magumu bado 2 kuna wenze2 wao wanawaza kucheka cheka ka yule taahira wa pale magogon?

sasa ukinuna ndo maisha yatakua marahisi eeehh au????? teh teh teh teh....:caked: chke kidogo wewe utarefusha maisha yako sawa eeeee Senetor,,,plus kurelease stress za hii nchi
 
sasa ukinuna ndo maisha yatakua marahisi eeehh au????? teh teh teh teh....:caked: chke kidogo wewe utarefusha maisha yako sawa eeeee Senetor,,,plus kurelease stress za hii nchi


anne Marie nakuja 2cheke wote
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom