Michezo utotoni

Mchezo wa kuliwa na simba ! Simba (watoto) wanakaaa middle unatakiwa upite kwa hao simba. Huo mchezo ulikuwa na ka wimbo fulani "watoto wangu eeeh mimi mama yenu sina nguvu tena ya kuua simba..... (...) inaendelea bas
 
Mkuu washawasha hii kombolela wengine imetukuza haraka maana masuala tuliyaanzia huko:) Wewe ukijificha mnakwenda nje ya eneo lililokubaliwa kwa mchezo.....Kutoka baadayeeee
Tumefaidi sana kwa kweli.
Nalog off
 
Back
Top Bottom