Michango ya Rambirambi ya Kanumba Yatafunwa

Good actors gone bad,take three action! No clouds on my phone let rain in the bank,let 'em stack chips for rainy dayz heyyyy,Mama kanumba is back,with little ms killer,lulu where you at?
 
Hahahahah,
jaman kufa kufaana,
kila mchuma janga,hula na wenzie,
lakin c tunajua kuwa MALI BILA DAFTAR,HU2MIKA BILA HABAR.
Mama S.KANUMBA,kwakua umemzka mwanao basi nawa mikono mwombee kheri mwanao,
kama ana maden anadaiwa az binadamu,basi fanya mipango ya mirath na ulipe deni,
hayo me niliyahc cku walotangaza namba za tigo na m-pesa
 
Namsomea sledi wife apa. . .Amesikitika ka elfu 30 kake . .Hehehehe, . .I min R.I.P sk
 
yale mamiwani waliyovaa nasikia madukani Dar yanauzwa laki 2, so you can imagine. nilitegemea haya mambo kutokea, maana msiba mzima ulikwenda kisanii. hakuna ndugu hata mmoja alihusishwa au hata aliyekua kwenye kamati. ndio maana walishupalia msiba uwe Dar maana waliona ikiwa Shy, pesa nyingine zitaenda kule. Aibu sana!!!

Wanadai yale masuti yamenunuliwa na govt of tanzania
 
yale mamiwani waliyovaa nasikia madukani Dar yanauzwa laki 2, so you can imagine. nilitegemea haya mambo kutokea, maana msiba mzima ulikwenda kisanii. hakuna ndugu hata mmoja alihusishwa au hata aliyekua kwenye kamati. ndio maana walishupalia msiba uwe Dar maana waliona ikiwa Shy, pesa nyingine zitaenda kule. Aibu sana!!!

asia umenena neno lenye maana!
 
Unacheza na wasanii! Walikuwa wanaigiza hata ktk kamati usitegemee kupata cha maana hata wasanii ktk serikali yetu wanatuporomosha bila maelezo
 
Kufa kufaana waungwana, acha waliohai watanue na mali ya marehemu
 
Back
Top Bottom