Michael jackson: "Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi"

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,598
17,727
Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi,
(Usijali watu wanasema nini, Kwa sababu tunaujua ukweli)
Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kutuhusu,
(Inatosha sasa, upuuzi huu!),
Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu sisi,

Koras!

Vichwa Panzi,
Bongo lala,
kila mtu amekasirika na hii Hali,
Matumizi ya Nguvu,
kila mtu,Kufunguliwa Mashtaka,
kwenye habari, kila mtu mchochezi,
Tunaonekana kama chakula cha mbwa
Bang bang, risasi na tunauwana,
kila mtu amekuwa na kichaa sasa,

Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi,
Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi,

Vesi ya 1

Nipige, nichukie,
huwezi kamwe kunivunja Moyo,
Je, unifurahishe, huwezi kuniua kamwe,
Niite Myahudi mimi

(Akimaanisha nisingizie Udini itakavyo)
nishitaki, kila mtu anifanyie atakavyo,
Nipige teke, niache, usinifanye mweusi au mweupe

Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi,
Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kuhusu Sisi,

[VESI ya 2]
Niambie, maisha yangu yatakuwaje?
Nina mke na watoto wawili wanaonipenda Mimi,
Na mwathirika wa ukatili wa polisi,
Sasa Nimechoka kuwa mwathirika wa chuki Unanipasua kiburi changu
oh, kwa ajili ya Mungu Ninatazamia Mbinguni kutimiza unabii wake,
niwekeni huru

Vichwa Panzi,
Bongo lala,
kila mtu amekasirika na hii Hali,, wanatetemeka, kila swhemu uvumi, kila mtu, anapewa kesi na kwenye habari, kila mtu ni mchochezi,
chakula cha mbwa Mtu mweusi, tumekuwa wasaliti, wanatupwa watu gerezani,

Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kutuhusu Ninachotaka kusema ni kwamba hawajali kabisa kutuhusu

Niambie, haki yangu imekuwaje?
Mimi sionekani kwa sababu unanipuuza?
Kampeni zako liliniahidi uhuru wa bure,
Sasa Nimechoka kuwa mwathirika wa aibu Wananitupa darasani kwa jina baya Siwezi kuamini hii ndiyo nchi niliyotoka

[Outro]

Unajua, sipendi kusema kuwa Serikali haitaki kuona,
Lakini ikiwa Roosevelt angekuwa akiishi ' Asingeruhusu hili litokee,
hapana, hapana

Hii ni tafsiri ya kiswahili

Hii ni original yake....

ntro]
All I want to say is that they don't really care about us
(Don't worry what people say, we know the truth)
All I want to say is that they don't really care about us
(Enough is enough of this garbage!)
All I want to say is that they don't really care about us
[Overlapping voices]

[Chorus]
Skin head, dead head, everybody gone mad
Situation, aggravation, everybody, allegation
In the suit, on the news, everybody, dog food
Bang bang, shot dead, everybody's gone mad

BoyWithUke 'Trauma' Official Lyrics & Meaning | Verified

[Refrain]
All I wanna say is that they don't really care about us
All I wanna say is that they don't really care about us

[Verse 1]
Beat me, hate me, you can never break me
Will me, thrill me, you can never kill me
Jew me, sue me, everybody do me
Kick me, kike me, don't you black or white me

[Refrain]
All I wanna say is that they don't really care about us
All I wanna say is that they don't really care about us

[Verse 2]
Tell me, what has become of my life?
I have a wife and two children who love me
I am the victim of police brutality, now
I'm tired of being the victim of hate
You're ripping me of my pride, oh, for God's sake
I look to Heaven to fulfill its prophecy, set me free

[Chorus]
Skin head, dead head, everybody gone mad
Trepidation, speculation, everybody, allegation
In the suit, on the news, everybody, dog food
Black man, blackmail, throw the brother in jail

[Refrain]
All I wanna say is that they don't really care about us
All I wanna say is that they don't really care about us

[Verse 3]
Tell me, what has become of my rights?
Am I invisible 'cause you ignore me?
Your proclamation promised me free liberty, now
I'm tired of being the victim of shame
They're throwing me in a class with a bad name
I can't believe this is the land from which I came

[Pre-Chorus]
You know, I really do hate to say it
The government don't wanna see
But if Roosevelt was livin'
He wouldn't let this be, no, no

[Chorus]
Skin head, dead head, everybody gone bad
Situation, speculation, everybody, litigation
Beat me, bash me, you can never trash me
Hit me, kick me, you can never get me

[Refrain]
All I wanna say is that they don't really care about us
All I wanna say is that they don't really care about us

[Bridge]
Some things in life
They just don't wanna see
But if Martin Luther was livin'
He wouldn't let this be, no, no

[Chorus]
Skin head, dead head, everybody gone mad
Situation, segregation, everybody, allegation
In the suit, on the news, everybody, dog food
Kick me, kike me, don't you wrong or right me
(We're deep in the fire)

[Refrain]
All I wanna say is that they don't really care about us
(We're deep in the fire)
All I wanna say is that they don't really care about us
(I'm here to remind you)
All I wanna say is that they don't really care about us
(Don't you sit back and watch the beatin')

[Outro]
All I wanna say is that they don't really care about-
All I wanna say is that they don't really care about-
All I wanna say is that they don't really care about us
(Hee-hee, woohoo!)

Na hii ndiyo nyimbi yenyewe....
 
Back
Top Bottom