John Obi Mikel: Familia za Kiafrika zinachangia kuwavuruga Wachezaji waliofanikiwa kifedha

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Kiungo wa zamani wa Chelsea na Nigeria, John Obi Mikel amedai Waafrika wengi waliofanikiwa kiuchumi wanakumbana na presha kubwa kutoka kwa Familia wakitakiwa kutoa msaada wa fedha kwa lazima na wasipofanya hivyo wanaonekana wabaya na wengine wanapewa vitisho.

Anasema "Hatuzungumzi sana kuhusu hili lakini linawaharibu Wachezaji Kisaikolojia, ukipata fedha zinakuwa sio zako ni za ndugu, Binamu na wengineo, ni tamaduni isiyofaa, tuwaambie wachezaji wanaochipukia kuwa wanatakiwa kuwa imara na maamuzi ya fedha zao.”

Anadai alikuwa mhanga wa hali hiyo kuanzia alipoanza kufanikiwa kisoka, miaka mitano iliyopita aligeuka kuwa adui kwa ndugu baada ya kusitisha kutoa fedha.

---------------

John Obi Mikel on African players sending money to family back home

John Obi Mikel says African footballers are effectively subject to an extra tax as they often support extended family and hangers-on back home.

The former Chelsea and Nigeria midfielder has claimed some players are even "threatened by their own blood" if they do not offer financial assistance.

"When you come from Africa - and this is something I don't think we speak a lot about - when you make money, it is not your money," said Mikel, speaking on Rio Ferdinand's Vibe with FIVE.

"You have all these relatives, cousins, whatever.

"Your sisters, they go off and get married to some guy. He just wants to get married into John Obi Mikel's family because then [he thinks] 'my life is sorted'.

"You start looking after this guy and you send money to your sister and the money goes to him and he does whatever he does with it.

"This is the thing nobody knows about - your money is not your money.

"You get a salary and say 'I'll put this aside for this person, put that aside for that person, and put that aside for my mum and dad'. Before you know it, you are getting less than them.

"That is the culture. They expect you to do that. For them, you owe them.

"This story needs to be told. A lot of young African players that are coming up now need to be told this because they will go through similar situations.

"They will need to know how to deal with this."

Mikel says players have to be strong if they decide to stop assisting others financially, as there can be a backlash.

"Sometimes you have to say 'Enough is enough, I don't care'. For me that moment came about five years ago," the 36-year-old added.

"I said 'No more', because I have been doing this since I started playing football.

"You become the bad guy. They stop answering your phone calls. They are used to calling you - not to check up on you but to ask 'What are you giving me?'.

"You have to be strong enough. I was giving so much to the family.

"All you do is keep giving and they are so comfortable that they expect you to do that for the rest of your life."

Mikel says players could even be emotionally blackmailed.

"They give you this thing whereby 'If you don't do it [pay], we are going to go to the press'.

"You are thinking, 'You are family. After all I've done for you guys?'.

"In Africa not everybody comes out and speaks about this, because we think 'How are we going to talk about this?'.

"You get threatened by your own blood."

Source: BBC
 
Kweli Wa-Africa tunafanana, hii ni tabia ya kijinga sana, kuna watu hawataki kufanya kazi, kazi yao kubwa ni mizinga tu, usipowapa fedha ni lawama na maneno mengi, inaonyesha hii tabia imeota mizizi katika jamii nyingi.

Adebayor ninadhan alishawahi kutengwa mpaka na familia yake kwa ishu hizi hizi, ni afadhali huku kwetu hata kidogo wanaona aibu, watu wa West huko ni kama lazima utoe pesa kwa familia yako.
 
Kweli Wa-Africa tunafanana, hii ni tabia ya kijinga sana, kuna watu hawataki kufanya kazi, kazi yao kubwa ni mizinga tu, usipowapa fedha ni lawama na maneno mengi, inaonyesha hii tabia imeota mizizi katika jamii nyingi...
Muulize Pogba moaka anafikia hatua ya kusema ni bora tu angekuwa maskini angeishi kwa amani kuliko sasa.
 
Ndo maisha ya waafrika mtu una hangaika , unateseka saa nyingine unakutana na kifo uso kwa uso kuyatafuta mafanikio.
La kushangaza ukisha yapata hayo mafanikio ndugu wanarazimisha yawe ya ukoo mzima.

Hapa Africa usipo kuwa mnonko utoboi.
 

Attachments

  • 1700100855145.jpg
    1700100855145.jpg
    38.3 KB · Views: 6
Kweli Wa-Africa tunafanana, hii ni tabia ya kijinga sana, kuna watu hawataki kufanya kazi, kazi yao kubwa ni mizinga tu, usipowapa fedha ni lawama na maneno mengi, inaonyesha hii tabia imeota mizizi katika jamii nyingi...
Na ukimpa mtaji mwaka haifiki anaua anarudi kuomba tena African they're thinking about sex 24/7 hata kwenye biashara au mihangaiko yke ikiwa vizuri basi ataongeza mke au atakuwa mtu wa totoz.
 
Afrika tumelaaniwa walah,sio wanasoka tu mtu yeyote akifanikiwa iwe kwenye kazi au biashara akionekana na unafuu wa maisha tu ndugu hata wale wenye undugu wa mbali wanaanza na wao kutaka haki ya kuwa sehemu ya mafanikio yako,mizinga haiishi nk
Ndo maana wengi wakifanikiwa wanatembelea Sana kwa waganga ili wajilinde maana mchaw wa Kwanza lazima awe ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom