FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Unakaa barabara ya ngapi nikuletee zawadi
Usimcheke; mwanzo mto ni mfereji!
Hongera sana mkuu. Hakika una sababu kumshukuru Mungu kwa neema zake kwenu. Mungu awabariki muweze kuadhimisha miaka 10, 25, 50, 75, nk ya ndoa yenu; mkizidi kumpenda na kumcha Bwana kwa kila kitu. Mubarikiwe sana. Amen!
Unakaa barabara ya ngapi nikuletee zawadi
fact!
mtu kama georgie-porgie akifa leo watasema MAREHEMU ALIKUWA TOWASHI
mtu kama fidel akidondoka leo watasema MAREHEMU ALIKUWA MSEJA
mimi nina siku hamsini hivi kwenye ndoa......!
dah!
Kigamboni karibu na St. John University
Asante.
nawapa moyo tu,wasijione kwamba hawaweziWatoto wa baba paroko utawajua tu!! hahahahah.
Usiwacheke wenzio. Babu wa leo alikuwa kinda wa jana. Wape moyo tu na uwakaribishe kwenye club.
ujumbe mzito huoMJ,
Hongera sana kwa kufikisha miaka mitano ndani ya jela linaloitwa ndoa. Ni muda mrefu kwa kweli na si haba!
Binafsi na kupongeza wewe na shemeji kwani maneno uliyoyasema hapo juu yanatia moyo na yanaonesha kuwa kuna matumaini ya kusonga mbele. Kipindi mlichopita ni kigumu sana kwani ndio muda ambao watu bado wanachanga karata zao kabla ya kuukubali mchezo (ama wamepigwa bao au wamewini). Naona nyie mmewini na mtaendelea kuwini.
Mungu awabariki na kuwalinda, na awapatie uzao ulio mwema, musaidie katika kuijaza hii dunia! DC
Hongera sana.
Ndugu maskini jeuri kwa faida ya wana JF wote,
hebu tueleze changamoto moja kubwa ambayo hutoisahau uliyokutana nayo ndani ya miaka hiyo mitano ya ndoa yako.
Hongera sana kwako pia kwa mama junior , mungu awaongezee miaka mingi ya upendo na baraka tele.
Mimi niko kwenye ndoa miaka nane sasa.
Please tegemea mgeni tarehe 04-04-2010 mwambie na wife asijekushangaa
Nawapenda pia (hasa ww)mkeo na mwanao juniour,duh but (tunanong'ona)hukuwahi kutoka nje?hongera sana na Mungu mwingi wa rehema na kusamehe akusamehe makosa yako yote uliotenda nje ya ndoa pia awazidishie miaka mingine 5550