Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

Tatizo maisha magumu mkuu. Mimi nilikua tayari kuzaa hata nikiwa na miaka 18 ili niwakuze wanangu nikiwa bado kijana. Maisha yamefanya watu tumegonga miaka 38 bila mke wala mtoto.
Duh ya kweli hayo?
 
Nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na 24yrs old. Thank you God, now this year anamaliza std 7 then nampeleka kwa kipingu akapige soka maana ni mwanasoka na tangu last year alikua timu ya Shule na mwaka huu pia yupo timu ya Shule.
...hivi hiyo shule ya kipingu ukiacha mambo ya michezo,performance yao kielimu ikoje?
 
Mkuu lazima ufahamu kwamba kila mtu has gotten his own perspective juu ya maisha, na through hiyo perspective ndipo anapoendesha maisha yake.
Hiyo moja, lakini pili unachoamini wewe kuwa ndio purpose of human life na source of happiness to human life sio lazima na wengine waamini hivyo.
Tatu, kuna issue ya being endowed naturally, kwa maana ya kwamba kuna baadhi ya watu hukosa vizazi, je nao wayachukie maisha kwa sababu wanashindwa kuzaa kipindi watakacho wao?
KUNA WATU WANGAPI WAMEZAA MAPEMA, LAKINI BADO WAKO NA MISERABLE LIFE, LAKINI HAPO HAPO WAPO WATU NI AGED NA HAWANA HAO WATOTO/WANAO KATIKA UMRI MKUBWA STILL WAKO HAPPY WITH THEIR LIFE?

Maisha ni jinsi unavyoyataza tu, has gotten nothing with its events.
Na ndio maana nimesema ujichunguze? Huenda una matatizo yabkizazi,,mbona nyie watu ni wagumu sana kuelewa?? Msisome kwa mihemko
 
Kama unachosema ni sahihi basi wengi tupo pabaya kwa kweli.

Nchi za wenzetu walioendelea hua wanasema "Bila tafiti hakuna ruhusa ya kuzungumza"

Sina shaka kama hujafanya tafiti ya ulichozungumza. Shaka yangu ni moja tuu, Je, umefanya tafiti ya hicho ulichosema ????
Na je wale waliopata watoto wao wakiwa na zaidi ya miaka 27 inakuaje ??
Mh.Reginald Mengi amepata watoto mapacha akiwa na 50 yrs plus,
Ndugu zetu wa mitaani waliochelewa kupata watoto baada ya ndoa nao vipi ??
Waliooana mapema ktk ujana wao angali na miaka 24-25 tu lakini hawakupata watoto ndani ya ndoa kwa zaidi ya miaka mitatu mpaka mitano Je ??
Wasomi wengi huchelewa kuoa, wengi wao huoa na umri wa miaka 30, lakini hakuna tafiti inayooanisha mojakwamoja kati ya wasomi na ukosefu wa watoto. Je ??

Tunahitaji tafiti madhubuti kabla ya kuamini falsafa yako hii, vinginevyo tunaomba mtizamo wa kitaalamu wa wataalam wa Afya ktk hili.
Zaa wewe acha uoga,utaitwa babu na wanao,mtu una miaka 40 mtoto wa kwanza ndio ana miaka mitano,ujinga na uoga wa maisha huo,hata wazazi wetu wangesubiri kujipanga basi tusingezaliwa
 
Tatizo maisha magumu mkuu. Mimi nilikua tayari kuzaa hata nikiwa na miaka 18 ili niwakuze wanangu nikiwa bado kijana. Maisha yamefanya watu tumegonga miaka 38 bila mke wala mtoto.
Acha uoga wa maisha,hata wazazi wetu wangeogopa kuzaa eti kisa wanajipanga basi amini leo hii tusingezaliwa sisi,mi wazazi wangu ni masikini lakini wamenielea na kunisomesha na leo nina maisha yangu
 
kwakweli mimi binafsi hua niko bize sana kiakili.kiroho na kimwili kiasi kwamba hua nasahau kua huo mchakato wa kuoa na kuolewa upo ili mtoto apatikane.....mtoto wa nje staki sababu mimi binafsi nimezaliwa kwa wazazi waliofunga ndoa halali kabisa...kwahiyo siku nikipata muda nitafunga ndoa ili nizae watoto...ila kwasasa mke na watoto siyo kipaumbele visubiri kwanza.
 
msichukulie maisha katika hali yakufikirika na nadharia sana, uwe na gorofa na kampuni ndo uanze maisha? hicho kidogo unachopata ishi kadri ya kipato chako na oa mtu anaywjua nini maana ya maisha! ukioa magazeri show utakifa presure
Madam mwajuma mimi binafsi nakubariana na bandiko la mwandishi wa sredi hii.
Kina ukweli ambao wengi tunajaribu kuukwepa hapa, huo ni umri wa mtu kuwa na familia kama kweli una ndoto za kuwa na familia. Cha ajabu wengi tukitazama mbeleni hatima hatuiona ndio maana tunaogopa, hata hivyo unaweza.kusubiri ukidhami mabo yatakuwa mazuri huko mbele ama ufanikiwe kidogo au ukose kabisa na utakikuta umeshachelewa. Cha msingi kama binadamu mwenye akili sawasawa hupaswi.kuogopa eti kwa sababu jujajenda au kununua gari.
 
Na ndio maana nimesema ujichunguze? Huenda una matatizo yabkizazi,,mbona nyie watu ni wagumu sana kuelewa?? Msisome kwa mihemko

Sasa wewe!!! kama unakiri kwamba sometimes mtu anaweza kuwa na matatizo yanayompelekea kutokuwa na mtoto.
Sasa inakuaje kutokuwa na mtoto katika hiyo age unayozungumzia you just see as a something loathsome?? (Kama dhana unayoijenga katika thread yako)
 
Back
Top Bottom