Taarifa kutoka polisi jijini Dar es Salaam ni kuwa polisi wamemkamata tapeli wa kimataifa mwenye asili ya India, Prakash Shah, ambaye ameiba zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa kuwatapeli wawekezaji wa kigeni kuwa atawauzia madini kupitia bandari ya Dar es Salaam.
Tapeli huyu yuko kwenye mtandao wa wafanyabiashara mafia wa Tanzania, wakiwemo wamiliki wa hoteli ya Talk of the Town iliyopo karibu na Msasani kwa Mwalimu jijini Dar.
Mhindi huyu atafikishwa mahakamani kesho Jumanne Agosti 23, 2011, kwenye mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka.
Kuna uwezekano waandishi wa habari wakazuiwa wasitoe habari ya kesi hii imalizwe kimya kimya kwani tapeli huyu wa kihindi anafahamiana na wakubwa wengi serikalini.