Mhindi akamatwa Dar kwa utapeli wa 30 billion shillings

Fareed

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
328
135
Taarifa kutoka polisi jijini Dar es Salaam ni kuwa polisi wamemkamata tapeli wa kimataifa mwenye asili ya India, Prakash Shah, ambaye ameiba zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa kuwatapeli wawekezaji wa kigeni kuwa atawauzia madini kupitia bandari ya Dar es Salaam.

Tapeli huyu yuko kwenye mtandao wa wafanyabiashara mafia wa Tanzania, wakiwemo wamiliki wa hoteli ya Talk of the Town iliyopo karibu na Msasani kwa Mwalimu jijini Dar.

Mhindi huyu atafikishwa mahakamani kesho Jumanne Agosti 23, 2011, kwenye mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka.

Kuna uwezekano waandishi wa habari wakazuiwa wasitoe habari ya kesi hii imalizwe kimya kimya kwani tapeli huyu wa kihindi anafahamiana na wakubwa wengi serikalini.

Duh................... Hivi hawa wakubwa watawatetea wangapi..??? Kila mahala kuna mkubwa

Kwa rushwa ilivyokithiti polisi na mahakamani, huyo mhindi sidhani kama atapandishwa kizimbani hiyo kesho. Na hata akishtakiwa, basi ujue hiyo kesi itaisha yenyewe kwa serikali kupeleka mashitaka mabovu kwa makusudi. Nchi hii uibe laki tatu au milioni 3 utafungwa jela, lakini ukiiba mabilioni hakuna wa kukufunga.

Mnabisha? Nani ameshitakiwa kesi ya mabilioni ya shilingi akafungwa jela. Labda kuwepo shinikizo la kisiasa kama kesi za EPA.

Vinatuuma itabidi tuwekewe jiwe la panadol kila mkoa tunalamba tu kila siku

Mkuu kweli ni vyema wakafanya hivyo ili kupunguza maumivu. Huo ni mnyukano!! Watakamatana, watatajana, watadhihakiana, watabomoana, watahujumiana, wataumbuana lakini mwisho wa siku Tanzania yetu itasimama na mali zetu zitarejea mikononi mwetu.

tunahitaji dikteta kuyashughulikia haya. Hakuna chama cho chote cha siasa nchini kinachoweza kukomesha hali hii. hata wanaopiga kelele si ajabu wanapiga kelele kwa kuwa wako nje!!

Mkuu haswaaaa. Nchi hii inahitaji utakaso wa maji na moto!! Jamii imeharibika hakuna cha chama wala nini. Chama chochote kitakachokuja na kutawala katika jamii hii isiyo na utakaso mambo yataendelea kuwa yaleyale.

Sijasikia kashfa ya mabilion ya shilingi tanzania bila muhindi kuhusishwa.

Mkuu kweli ni vyema wakafanya hivyo ili kupunguza maumivu. Huo ni mnyukano!! Watakamatana, watatajana, watadhihakiana, watabomoana, watahujumiana, wataumbuana lakini mwisho wa siku Tanzania yetu itasimama na mali zetu zitarejea mikononi mwetu.

mkuu madini nayo yatarudi!!??
wanyama wetu je??

nchi hii ina hitaji mtu kama hiyo avatar yako
kama unamjua vizuri mkuu utakuwa umenielewa
kama humjui sema tu nikupe wasifu wake!!!

Taarifa kutoka polisi jijini Dar es Salaam ni kuwa polisi wamemkamata tapeli wa kimataifa mwenye asili ya India, Prakash Shah, ambaye ameiba zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa kuwatapeli wawekezaji wa kigeni kuwa atawauzia madini kupitia bandari ya Dar es Salaam.

Tapeli huyu yuko kwenye mtandao wa wafanyabiashara mafia wa Tanzania, wakiwemo wamiliki wa hoteli ya Talk of the Town iliyopo karibu na Msasani kwa Mwalimu jijini Dar.

Mhindi huyu atafikishwa mahakamani kesho Jumanne Agosti 23, 2011, kwenye mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka.

Kuna uwezekano waandishi wa habari wakazuiwa wasitoe habari ya kesi hii imalizwe kimya kimya kwani tapeli huyu wa kihindi anafahamiana na wakubwa wengi serikalini.

kama anawaibia analeta hapa nyumbani na waswahili mnapata ajira tatizo liko wapi?mbona vigogo wanaiba wanapeleka nje ya nchi hawawekezi hapa tunakosa na ajira...ipi nzuri?

Nchi hii kuna siku tutasikia "wananchi wa wilaya moja mikoa mikoa ya kusini wameuzwa wote huko Uarabuni bila ya wao kujua na sasa zinasubiriwa meli za kuwasafirisha. Deal hilo limewezeshwa na kigogo mmoja serikalini akishirikiana na mfanyabiashara mwenye asili ya kiasia"
Huko ndiko tunakoelekea.

Sinema mpya tena stelingi AJAY,kumbukeni stelingi huwa hafi atashinda tu.

Nchi hii kuna siku tutasikia "wananchi wa wilaya moja mikoa mikoa ya kusini wameuzwa wote huko Uarabuni bila ya wao kujua na sasa zinasubiriwa meli za kuwasafirisha. Deal hilo limewezeshwa na kigogo mmoja serikalini akishirikiana na mfanyabiashara mwenye asili ya kiasia"
Huko ndiko tunakoelekea.
Itokee mara ngapi...??? Si tunakoelekea..........TUSHAFIKA HUKO......... Kwani Loriondo kule mbugani ukiingia simu yako ina sema umeingia wapi..???

j

Tangu lini mhindi akaweka hela zake Afrika unaambiwa maisha yao ni triangle, yaani kimwili na kibiashara wako Afrika kidini kimila kiutamaduni ni huko India hifadhi ya raslimali fedha madini nk ni Ughaibuni upo hapo.

mkuu madini nayo yatarudi!!??
wanyama wetu je??

nchi hii ina hitaji mtu kama hiyo avatar yako
kama unamjua vizuri mkuu utakuwa umenielewa

kama humjui sema tu nikupe wasifu wake!!!

Mkuu nikuhakikishie kuwa namjua vizuri sana. Huyu ni role model wangu. Nimefika hadi Burkina Faso (Zamani Upper Volta - Dot com hawaijui) na kutoa heshima zangu kwake. Namchukia Compaore hadi hivi sasa ninapoandika hii post. Huyu alikuwa kiongozi wa kweli mali yake ilikuwa gitaaa na baiskeli vingine vilikuwa vya nchi. Need I say more

Sijasikia kashfa ya mabilion ya shilingi tanzania bila muhindi kuhusishwa.

Mkuu hawa watu ndio maana Mtikila alitaka kuwashughulikia. Wanakula taratibu wala hawajionyeshi!! Hawajengi nyumba hapa TZ wao wanwekeza Canada na UK. Wanajifanya kuendesha viduka vya kuuza viungo vya pilau kumbe wanatupiga mapesa yetu kwa kushirikiana na viongozi wetu. Wanajifanya wanatafuna tambuu huku wamevaa hovyo kumbe wanamung'unya mali zetu!! Mimi si mbaguzi lakini siwapendi wao na viongozi wetu wanaoshirikiana nao.

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom