Paul Mushi afikishwa mahakamani kwa utapeli wa viwanja

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Mtuhumiwa wa kutapeli na kudhulumu viwanja vya atu na kujimilikisha kinyume na utaratibu Jijini Dar Es salaam, Paul Mushi ametolewa kituo cha Polisi Oysterbay na kupelekwa Mahakama ya mwanzo Kinondoni.

Hatua hiyo imefuatia baada ya mtuhumiwa huyo kukamwatwa hapo awali kwa tuhuma za kunyang'anyav iwanja vya watu kadhaa na sasa amepekwa Mahakamani ili hatua za kisheria ziendelee.

Hatua hiyo inakuja baada ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Jerry Silaa, kutangaza kuanza kwa operesheni maalumu ya kudhibiti matapeli wa ardhi
katika Jijila Dar es salaam.

Siku chache zilizopita kulifanyika Kliniki ya Ardhi ya Jijini Dar Es Salaam na kuhitimishwa mnamo tarehe 3 Machi2 024 kwa lengo la kutatua migogoro ya ardhi iliyokuwa inasumbua Jiji la Dar Es Salaam kwa muda mrefu.

Chanzo: ITV
 
Eneo lote lile frame zile za billionaire pale mikocheni ni zake,ukikunja kama unaenda rose garden Ana nyumba kama 5,ukija shoppers jirani tupo pia
Hyu Ana nyumba nyingi sana kaanza dhuluma kitambo sana
Jamaa hatari sana

Ova
Nasikia eti zamani mzee mushi alisha wai fanya kazi wizara ya ardhi !!
 
Mtuhumiwa wa kutapeli na kudhulumu viwanja vya atu na kujimilikisha kinyume na utaratibu Jijini Dar Es salaam, Paul Mushi ametolewa kituo cha Polisi Oysterbay na kupelekwa Mahakama ya mwanzo Kinondoni.

Hatua hiyo imefuatia baada ya mtuhumiwa huyo kukamwatwa hapo awali kwa tuhuma za kunyang'anyav iwanja vya watu kadhaa na sasa amepekwa Mahakamani ili hatua za kisheria ziendelee.

Hatua hiyo inakuja baada ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Jerry Silaa, kutangaza kuanza kwa operesheni maalumu ya kudhibiti matapeli wa ardhi
katika Jijila Dar es salaam.

Siku chache zilizopita kulifanyika Kliniki ya Ardhi ya Jijini Dar Es Salaam na kuhitimishwa mnamo tarehe 3 Machi2 024 kwa lengo la kutatua migogoro ya ardhi iliyokuwa inasumbua Jiji la Dar Es Salaam kwa muda mrefu.

Chanzo: ITV
Nilipoona hilo jina nikashtuka nilijua Paul Mushi professor wangu wa post graduate
 
Mtuhumiwa wa kutapeli na kudhulumu viwanja vya atu na kujimilikisha kinyume na utaratibu Jijini Dar Es salaam, Paul Mushi ametolewa kituo cha Polisi Oysterbay na kupelekwa Mahakama ya mwanzo Kinondoni.

Hatua hiyo imefuatia baada ya mtuhumiwa huyo kukamwatwa hapo awali kwa tuhuma za kunyang'anyav iwanja vya watu kadhaa na sasa amepekwa Mahakamani ili hatua za kisheria ziendelee.

Hatua hiyo inakuja baada ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Jerry Silaa, kutangaza kuanza kwa operesheni maalumu ya kudhibiti matapeli wa ardhi
katika Jijila Dar es salaam.

Siku chache zilizopita kulifanyika Kliniki ya Ardhi ya Jijini Dar Es Salaam na kuhitimishwa mnamo tarehe 3 Machi2 024 kwa lengo la kutatua migogoro ya ardhi iliyokuwa inasumbua Jiji la Dar Es Salaam kwa muda mrefu.

Chanzo: ITV
Huyo mzee atatoka na kesi kushinda,mahakama za ccm mtu anashikwa na kidhibiti kesho anashinda kesi...sabaya,mkurugenzi wa arusha,mke wa erasto msuya etc
 
Mzee mushi mzushi sana
Anaishi kwa dhuluma sana
Angekuwa kama S.A sahv washamfkia...
Ukimuona sasa anavyongea utasema boya fulani

Ova
Nchi za watu angekuwa ameshakula chuma siku nyingi.

Na angekuwa yupo six fit under mpuuzi sana
 
Back
Top Bottom