Mhe. Waziri mkuu serikalini lini itaacha kununua mashangingi?

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,237
Ajali.JPG
Mhe. Waziri Mkuu uliahidi bungeni kuwa serikali itaacha kununua Mashangingi na itaanza kutumia magari yasiyozidi 2000 CC. Lini ahad yako itaanza kutekelezwa? Inauma kuendelea kulipa kodi a ajili ya kununua magari ya kifahari yasiyo na tija kwa taifa. Huku hospitali na shule za umma zikiwa hoi
 
Tuzidi kuhamasishana huenda CHADEMA kupitia Mh. Tundu Lissu wakabadilisha huu mfumo wakishika dola 2020-2025.
 
Mhe. Waziri Mkuu uliahidi bungeni kuwa serikali itaacha kununua Mashangingi na itaanza kutumia magari yasiyozidi 2000 CC. Lini ahad yako itaanza kutekelezwa? Inauma kuendelea kulipa kodi a ajili ya kununua magari ya kifahari yasiyo na tija kwa taifa. Huku hospitali na shule za umma zikiwa hoi

Kwl nyanni haoni kundule hata mbowe nae alikataaa shangingi kwa kudakia hoja ya zitto mwisho uzalendo ukamshinda hhahahah
 
Mhe. Waziri Mkuu uliahidi bungeni kuwa serikali itaacha kununua Mashangingi na itaanza kutumia magari yasiyozidi 2000 CC. Lini ahad yako itaanza kutekelezwa? Inauma kuendelea kulipa kodi a ajili ya kununua magari ya kifahari yasiyo na tija kwa taifa. Huku hospitali na shule za umma zikiwa hoi

Mashangingi?
Waliikataa rasimu ya Katiba ya Tume eti serikali tatu ni gharama! Kuna majimbo 42 mapya sasa wanaongeza kwa mwaka 3.38 bilioni kwa wabunge hao hivi sio kuongeza gharama?
 
Kiukweli nikionaga haya ma VX barabaranu huwa napataga uchungu mno yaani gari la milion 200 - 300 linambeba mtu mmoja kutoka Nyumbani UPANGA/MASAKI kumpeleka ofisini POSTA na kumrudisha home bado matengenezo, dereva, mafuta n.k
 
wakati muafaka wa kulifanyia kazi hili jambo ni sasa. Rais mpya/waziri mkuu ajaye apewe suala hili haya "MASHANGINGI" yappigwe mnada serikali inunue LANDCRUISER HARDTOP "MKONGE" na RAV 4, ikibidi na COROLLA
 
Back
Top Bottom