Mhe. Waziri mkuu serikalini lini itaacha kununua mashangingi?

attachment.php
 
kwa mzalendo unaueipenda Tanzania yetu ni lazima uumie sana una poona v8 ipo kwa ajili ya matumizi ya mtu mmoja huwezi amini mbali na service hiyo gari inatumi lita 3-4 kwa km 1,sasa bado service zake ambapo kwa mwaka na kwa idad ya hizo gari zilizopo ni hela nyingi sana,binafsi naumia sana kila niyaonapo hayo magari ya serikal yetu
 
LAND CRUISER HARD TOP ndo zenyewe hata vijijini itapeta, wakati fulani nilienda BOTSWANA wale jamaa nchi yao ni almost jangwa lakini hospitali ya mpaka kijijini ina DAWA, UMEME, AMBULANCE na madaktari wa kutosha. Tena hao madakatari/wafanyakazi wanalipwa vizuri sana. Sisi hapa AMANA tu utata. Hop Dkt. ataliona hili
 
Mhe. Majaliwa hebu anza na hili la MASHANGINGI Sirikalini tutaona umefanya jambo la kuokoa pesa zinazofuja humo kwenye UNUNUZI, MATENGENEZO, MAFUTA na kulipia madereva posho za kuzunguka na wahishimiwa kila Kigogo aendeshe gari lake na alipwe posho ya mafuta na matengenezo mwisho wa mwezi uone serikali itakavyo bana matumiz yake na hospitali na shule zitapata pesa ya madawati, umeme n.k.
 
tuanze na yale MAGARI YA WASHA WASHA aliyonunua mkwere!!! zile tanker zikarabatiwe tuweke za kubebea mchanga kwa ajili ya kujenga MAKTABA za kila shule ya KATA
 
Mhe. Waziri Mkuu mbali na kufanya ziara za kushtukiza Bandarini ni lini SERIKALI itaacha magari ya kifahari "MASHANGINGI"?
 
Bora waagize HAMMER kabisa tujue moja. Maana naona hizi V8 zinachoka mapema sana. Wanoafiki waseme NDIOOOOOO!!!
 
hivi tanzania NGOs kwa nn msianze na hili ili haya magari yasinunuliwe mengine? TAMWA, LHRC na NGOs nyingine kulikoni?
 
Back
Top Bottom