Nakumbuka CUF walishawahi kusema watapiga kura za maruhani,sisi huku bara 2015 tutapiga kura za hasira dhidi ya CCM,naomba niwaambie Wassira na Tendwa ya kuwa tatizo si Chadema kama mnavyojifikirisha,hata CDM mkiwafuta leo au kesho ni sawa tu,tutahamia kwingine mpaka tuwatoe madarakani,kwa kifupi wananchi wamechoka sana na wamekata tamaa.