Mhe. Wassira azungumzia Mauaji yanayotokana na jeshi la polisi live on TBC

I can't believe this happening mapema kuliko nilivyo dhani go CCM gooooo mbona mnachelewa aise kamilisheni basi unabii wangu ili mm niwe confirmed kwenye rank yangu mpya katika ufalme wa wana wa ulimwengu wa Jehova Nisi! Solitons are moving as fastest as I can imagine zikiwa na shape na shtrength zile zile.....Kuna kundi lina enda sambaratika vibaya sana sasa hivi na kuna mtu mmoja atatoswa na wenzake huku wakirukia life jackets to save their souls from destruction....
 
...Wanaweka mikakati ya kuifuta rasmi CDM sasa wameamua kuanza kupima upepo kwa kuzungumzia uwezekano wa hili kutokea. Wakishaupima upepo na kufanya tathmimn yao ya kile kitakachojiri iwapo wataifuta CDM basi wanaweza kuamua kuifuta au la.

Anasema Registraa wa vyama vya siasa ni wa serikali sio wa CCM na maamuzi yake ya kufuta chama hawawezi kuhijiwa mahakamani.

Swali: serikali inatokana na chama gani?
Raisi = Mwenyekiti wa Chanma
Makamu/ Mwawaziri ndio wajumbe wa kamati/halmashauri za chama
Hapo utatenganishaje chama na serikali?
 
CDM need to out smart these guys kwakuja na mkakati wa kulazimisha hawa wahusika wote wa mauaji wanawajibishwa kabla hao hawajafikia lengo lao lakuwafuta kitu kitakacho leta vurugu isiyo ya lazima. Hii wanaweza kwakupitia platform ya chama kikuu cha upinzani plus nguvu ya umma ambayo iko aligned kwao kwa sasa wakishirikiana na international communities....Hakuna bembeleza tena maana moto umeshawashwa mara saba ili kuwaunguza so is either wakubali ku bow ama wakatae ili nature iwafunze adabu baadhi ya watu wanaodhani wanaweza kuongoza na kuamua whatever they like kama vile Mungu kaenda likizo! Nawapa assurance moto huo utawalamba zaidi waliotumwa kuwatupa kwenye tanuru la moto nanyi mtatoka salama na hapo hata wale wachache ambao ni undecided (Laggers) wataungana nanyi kuimalizia hii regime inayotaka kuja na mpya ambayo haijawahi tokea kwenye historia ya nchi yetu! Huku kwenye ufalme wangu mm nimesha maliza kazi bado tu kazi yenu ya kuleta physical appearance ya blue print ya haya ninayowaeleza!
 
Anasema Registraa wa vyama vya siasa ni wa serikali sio wa CCM na maamuzi yake ya kufuta chama hawawezi kuhijiwa mahakamani.

Swali: serikali inatokana na chama gani?
Raisi = Mwenyekiti wa Chanma
Makamu/ Mwawaziri ndio wajumbe wa kamati/halmashauri za chama
Hapo utatenganishaje chama na serikali?

Na aliyemchagua huyo msajili (Tendwa) ni nani??? Aaache kutuzuga hapa.
 
sadly... kwakuwa hatuna utawala bora kauli ya sokwe ni kauli ya serikali
 
Anaweza kuwa kaongea mambo ya busara lakini alichosahahu ni :

1. KUSISITIZA KUWA CCM HAINA HAJA YA KUPAMBANA KUZUIA MAANDAMANO BALI WAO WATEKELEZE SERA ZAO NA KUWAWEZESHA WANANCHI KUELEKEA MAISHA BORA
2.POLISI SI LAZIMA WATUMIE NGUVU,YAANI WAJITAHIDI KULINDA NA KUOKOA MAISHA NA MALI ZA WATANZANIA.
 
SWALI LA KUJIULIZA WANA CDM, SLAA ALISEMA ANAJUA KAZI ZA KITAIFA NA ALIGHAIRISHA KWENDA IRNGA KUSUBILI SENSA, JE BAADA YA OFISI YA TAKWIMU KUTANGAZA KUEXTEND MUDA WA KUMALIZIA KUHESABU, SLAA KAMA KIONGOZ MWENYE BUSARA NA MWENYE KUHESHIMU SHERIA ZA NCH KWA NN ASIWE MVUMILIVU MPAKA KUWE TULIVU? &nbsp;&nbsp;<br>KWANGU MI NAMUONA SLAA KAMA KIONGOZ ASIYE NA SUBIRA MWENY KUPENDA MABAVU ANAYEPENDA KUWA JUU YA SHERIA KWA MWAMVULI WA KUTOPENDA KUBURUZWA.....NA SIDHAN KAMA TZ ITAJENGWA KWA MISING HIYO. JF TUACHE UNAZ WA VYAMA ZUNGUMZIA HALI HALISI YA KIONGOZ SLAA.
 
ndio huyu hapa mzee wa kuuchapa.....
wasira.jpg
 
Kuna mwana JF mmoja akichangia ktk sredi moja baada ya kifo cha Daudi Mwangosi alisema vikao vya Wasira, Mwigulu na baadhi ya makamanda wa Polisi nchini,ndivyo vinasababisha mauaji ya Polisi kuua wananchi wasiokua na hatia. Kwa mtaalamu yoyote wa saikolojia akimwangalia Wasira na Mwigulu wakizungumzia CDM,inatosha kuelewa kinachoendelea nchini. Lakini nadhani pressure inaongezeka kwa wakuu wa vyombo vya usalama kuendelea kutumikia wanasiasa wachovu wa CCM.
 
Kwasababu sijui unao uelewa wa kiasi gani,naomba nikupe ushauri kidogo,serikali kufanya zoezi la sensa kwa wiki 2 siyo sifa ni udhaifu wa hali juu ambao haujawahi tokea baada ya kupata Uhuru! Pili kama kulikua na sababu za msingi kuongeza muda,basi yalikua maeneo machache nchini ambayo yangeongezewa muda. Mikoa mingi zoezi la Sensa liliisha ndani ya muda uliokua umepangwa. Shirikisha ubongo kabla ya kuchangia,kama tatizo ni elimu ya kata omba ushauri kwa wenzako!
 
huyu babu anazeeka vibaya,anasema eti wale washabiki wa cdm na wandishi wa habari waliomtukana aliposema kuwa cdm itafutwa waendelee tu kumtukana kwa kuwa matusi hayaui.ANA LAANA SANA HUYU MZEE

Huyu mzee bure kabisa,ndiyo maana hata wazee wenzie hawawezi kumkaribisha kwenye gatherings zao,umri wake bado anapenda dogodogo.FATAKI WASIRA.
 
Tusipojiangalia na kujitambua...
Wanasiasa wasipoamua kuwa na ziada ya busara...
Polisi wataendelea kuuwa na wananchi wataendelea kuuawa KISA SIASA...
SIASA ZENYEWE ZA NCHI HII .. SIASA MATAKATAKA!!

LAZIMA TUJITAMBUE.. NA SANDUKU LA KURA PEKEE NDIO MKOMBOZI WA NCHI HII! (kwanini nasema hivyo? sitarajii katiba iwe tayari kabla ya uchaguzi ujao!)

wakiiba kura tunafanyaje. police hawa hawa ndo watatumika kuiba
 
Kuna mwana JF mmoja akichangia ktk sredi moja baada ya kifo cha Daudi Mwangosi alisema vikao vya Wasira, Mwigulu na baadhi ya makamanda wa Polisi nchini,ndivyo vinasababisha mauaji ya Polisi kuua wananchi wasiokua na hatia. Kwa mtaalamu yoyote wa saikolojia akimwangalia Wasira na Mwigulu wakizungumzia CDM,inatosha kuelewa kinachoendelea nchini. Lakini nadhani pressure inaongezeka kwa wakuu wa vyombo vya usalama kuendelea kutumikia wanasiasa wachovu wa CCM.

I would comment the same. hawa jamaa hatari
 
SWALI LA KUJIULIZA WANA CDM, SLAA ALISEMA ANAJUA KAZI ZA KITAIFA NA ALIGHAIRISHA KWENDA IRNGA KUSUBILI SENSA, JE BAADA YA OFISI YA TAKWIMU KUTANGAZA KUEXTEND MUDA WA KUMALIZIA KUHESABU, SLAA KAMA KIONGOZ MWENYE BUSARA NA MWENYE KUHESHIMU SHERIA ZA NCH KWA NN ASIWE MVUMILIVU MPAKA KUWE TULIVU? &nbsp;&nbsp;<br>KWANGU MI NAMUONA SLAA KAMA KIONGOZ ASIYE NA SUBIRA MWENY KUPENDA MABAVU ANAYEPENDA KUWA JUU YA SHERIA KWA MWAMVULI WA KUTOPENDA KUBURUZWA.....NA SIDHAN KAMA TZ ITAJENGWA KWA MISING HIYO. JF TUACHE UNAZ WA VYAMA ZUNGUMZIA HALI HALISI YA KIONGOZ SLAA.

Kuelewa ni nyanja nyingine kabisa,Dr Slaa kosa lake lipi?Acha uzandiki tumia fikra pevu kujitambua ya kuwa u nani ktk dunia hii!Je palikuwa na vurugu kabla ya Mwandishi kuuliwa?Je Moro marehemu Ally kabla ya kuuwawa palikuwa na vurugu?Hivi wewe una akili timamu kweli?Kwa nini wanawarushia sumu raia ambao hawana silaha yeyote?Hivi unaposema palikuwa na vurugu,je ni askari upi alojeruhiwa au silaha walizokuwa wanatumia wananchi zilikuwa zinawakwepa polisi?Picha za matukio yote hamna sehemu hata moja zinapoonyesha wananchi walitumia silaha kuwazuru polisi.Tumia akili kutafakari jambo kabla ya kuandika au kutamka,watu wote hapa JF wanalaani hayo mauaji au wewe unanufaika na damu pamoja na viungo vingine vya marehemu hao?Hv siku wananchi watakaposema sasa basi nasi tunaamua kujitetea,lipi litatokea?Moro baada ya askari kuishiwa mabomu wananchi waliendelea na maandamano kama kawaida.

DOZI YA MWISHO SILAHA HAZIWEZI KULETA AMANI HATA PIA KUISHINDA NGUVU YA UMMA ENDAPO UMMA UTAKAPOAMUA KUJIBU MASHAMBULIZI.
 
Jana nilimsikiliza Mhe. Wassira akiongea pale TBC,,,,,,Critical analysis inaonesha Mhe ana JICHO MOJA TU. Alizungumzia upande mmoja wa kuiraumu CHADEMA, HE did not even mention police in this issue. To him police walikuwa sawa kuuwa raia wasio na hatia kule Arusha, Morogoro na Iringa,,,,,alijaribu kuuhadaa umma wa watanzania kwamba mbona haukomaliii suala la mauaji ya Singida?

Infact nilijiuliza sana nikasema hivi wanaolalamika raia kuuawa ni CHADEMA tu au ni watanzania kwa ujumla,,,,nilidha ni ni raia haohao wanopaswa kuongelea suala la singida. Hata hivo nikakumbuka kuwa katika hotuba Mbadala ya Mambo ya Ndani CHADEMA ilijaribu kuongelea kwa undani suala la Singida Serikali kwa mabavu ikakataa kwa kisingizio cha mahakama,,,then anasema eti hilo mbona CHADEMA hawalikomalii,,,MZEE KACHOKA kiukweli,,,,,

He started kwa kutoa pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba kwa namana moja au nyingine but unaona kabisa HE IS NOT REGRETING OF WHAT POLICE DID,JE HIYO POLE NI ya KWELI AU UNAFIKI......

Jana niliamini kwa jinsi nilivomuona na kiburi chote, yeye ndo angekuwa msajili wa vyama vya siasa angekifutilia mbali CHADEMA maana to him CHADEMA ni tatizo na hakifai kuwepo,,,,,jana nilikumbuka usemi wa Mheshimiwa Wilfred Rwakatale kwamba 'MBWA AKIKARIBIA KUFA HULIA NA KUPIGA KELELE SANA' ndivyo alivokuwa na pengine wanavyofanywa viongozi wengi wa CCM....Na kwa mwendo huu sina hakika kama 2015 tutafika,,,dogo anaweza kuishia njiani na kama tukifika basi ndo mwisho wa Serikali ya CCM..

LONG LIVE CHADEMA,,,KARIBU 2015,,,TUTIMIZE NDOTO ZA KUMKOMBOA MTANZANIA
 
Back
Top Bottom