M MAKUNDA Senior Member Apr 5, 2012 115 39 Apr 23, 2012 #81 kama itaisha hivi hivi hakika tuko kwenye janga, siamini kabisa. Hebu tuone hadi mwisho. Jamaa yupo anatoa story hamna kitu.
kama itaisha hivi hivi hakika tuko kwenye janga, siamini kabisa. Hebu tuone hadi mwisho. Jamaa yupo anatoa story hamna kitu.
BPM JF-Expert Member Mar 10, 2011 2,760 573 Apr 23, 2012 #82 huyu jamaa kwa nin hatak kusema wananchi wanachohtaj kusikia?
Judi wa Kishua JF-Expert Member Apr 15, 2012 1,066 1,047 Apr 23, 2012 #83 Ng'wanangwa said: nina mtoto amemaliza la saba hajuwi kusoma wala kuandika. tena mwanafunzi aliyesoma dar es salaam. huyu pinda anaongea u_pupu gani hapa? Click to expand... aya ndio mambo ya kujadili mkuu,tukipata suluisho tutapiga hatua kelele azisaidii.
Ng'wanangwa said: nina mtoto amemaliza la saba hajuwi kusoma wala kuandika. tena mwanafunzi aliyesoma dar es salaam. huyu pinda anaongea u_pupu gani hapa? Click to expand... aya ndio mambo ya kujadili mkuu,tukipata suluisho tutapiga hatua kelele azisaidii.
B Bajabiri JF-Expert Member Jan 1, 2011 9,730 1,201 Apr 23, 2012 #84 Saint Ivuga said: unatafuta mme wewe Click to expand... mi MSHENGA
S Sheshejr JF-Expert Member Jan 14, 2012 434 82 Apr 23, 2012 #85 Dah, magembe kalilax sana, hamna wa kujiuzulu, intelinjensia inaonyesha hivyo.
Pendael laizer JF-Expert Member Jan 14, 2012 958 101 Apr 23, 2012 #87 Huyu pm kapinda sana sawa tu na mama kiroboto
P PakavuNateleza JF-Expert Member Sep 9, 2009 1,104 1,294 Apr 23, 2012 #89 JF member give the dude time he needs,he will come clean at the end.
Uliza_Bei JF-Expert Member Feb 17, 2011 3,216 989 Apr 23, 2012 #90 Ninayo mawe hapa asipojiuzuru nampopoa si huyu namuona na suti nyeusi halafu anashabikia simba ukumbi mzima red. Tujiandae kumpopoa hapahapa...sitanii hata plasma naivunja
Ninayo mawe hapa asipojiuzuru nampopoa si huyu namuona na suti nyeusi halafu anashabikia simba ukumbi mzima red. Tujiandae kumpopoa hapahapa...sitanii hata plasma naivunja
W Wakurogwa JF-Expert Member Sep 2, 2011 216 39 Apr 23, 2012 #94 Huyu jamaa mbona anaongelea yaleyale ya kila siku wanayoshindwa kuyatekeleza? halafu hana hata dalili ya kujiuzuru anatoa longolongo tu!!!
Huyu jamaa mbona anaongelea yaleyale ya kila siku wanayoshindwa kuyatekeleza? halafu hana hata dalili ya kujiuzuru anatoa longolongo tu!!!
mchemsho JF-Expert Member Jun 8, 2011 3,212 867 Apr 23, 2012 #95 Sioni mtu wala dalili za kujiuzulu..wana roho ngumu hawa, hawana hata soni
S Sheshejr JF-Expert Member Jan 14, 2012 434 82 Apr 23, 2012 #96 Naona ngeleja anateta na maige pale.
Ng'wanangwa JF-Expert Member Aug 28, 2010 10,827 4,172 Apr 23, 2012 #98 Bajabiri said: Minjingu hyo, Click to expand... hivi minjingu ni kitu gani?
Jay One JF-Expert Member Nov 12, 2010 16,869 16,772 Apr 23, 2012 #99 Sijui anaongea nini, yupo ktk Elimu 10 mins, utashangaa ataanza kilimo, mifugo, afya, mahindi, maharagwe, mchicha, ng'ombe, nguruwe, mbolea, utalii, ardhi, mito, maziwa, bahari, anga, mvua, kiangazi, njaa, simba, yanga, kidato cha 4, std 7.. Walimu, wafugaji, wagonjwa, wafu, vichaa, madaktari, mkoa wa Mara, Mwatex, umeme, viwanda, maji, ukimwi, soko, pamba, ajira, umaskini, muda umeisha.... Speaker kaongeza muda..... Mkutano, atamaliza saa 5 ucku, na katupoteza wote, i am exhausted..... Now yupo A to Z alitembelea Minjingu.... Leo mtakoma, sasa Sanflag..... Jesus Christ..... leo ni leo.... Hiiiii kaanza Minjingu, sulphur, phosphorous, nitrate.... Mama yangu...... Kote alikotembelea kasema....sensa sasa.... Heeeeeh.... Sensaaaaaa weee 26 August 2012 Mawaziri WANACHEKAAAAA kisiri siri WANAJUA IMEPITAAA HIYOOOO.....
Sijui anaongea nini, yupo ktk Elimu 10 mins, utashangaa ataanza kilimo, mifugo, afya, mahindi, maharagwe, mchicha, ng'ombe, nguruwe, mbolea, utalii, ardhi, mito, maziwa, bahari, anga, mvua, kiangazi, njaa, simba, yanga, kidato cha 4, std 7.. Walimu, wafugaji, wagonjwa, wafu, vichaa, madaktari, mkoa wa Mara, Mwatex, umeme, viwanda, maji, ukimwi, soko, pamba, ajira, umaskini, muda umeisha.... Speaker kaongeza muda..... Mkutano, atamaliza saa 5 ucku, na katupoteza wote, i am exhausted..... Now yupo A to Z alitembelea Minjingu.... Leo mtakoma, sasa Sanflag..... Jesus Christ..... leo ni leo.... Hiiiii kaanza Minjingu, sulphur, phosphorous, nitrate.... Mama yangu...... Kote alikotembelea kasema....sensa sasa.... Heeeeeh.... Sensaaaaaa weee 26 August 2012 Mawaziri WANACHEKAAAAA kisiri siri WANAJUA IMEPITAAA HIYOOOO.....
D daudi mwakijabilwa New Member Apr 23, 2012 1 0 Apr 23, 2012 #100 nin kimejir bungen leo ckuweza kufatilia