Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Nna wasiwasi hii hotuba ameandaliwa, eti anasoma kabisa viwanda vya nguo na mavazi...kwani kuna tofauti ya nguo na mavazi? Ama kweli huyu ni intellectual impairement.
 
Pinda anaelezea mikakati ya kuondoa changamoto za viwanda nchini...kwa kweli serikali inafanya jitihada nyingi tofauti na upotoshaji unaofanywa.
 
Pamoja na ugoro anaoungea,bado bibi kiroboto kamuongezea mda amalizie.kweli madaraka yanalevya.
 
Juma Nkamia amethibitisha kuwa Waziri mmoja ameashaandika barua ya kujiuzulu.

Source: BBC
 
Hapa hamna dall zozote za kuwajibshwa mtu! Sjui ngoja tufuatilie!
 
Hotuba ya pinda kuahirisha bunge inaendelea, lakini hakuna dalili ya pinda kuzungumzia mawaziri waliopaswa kujizuru, ni wazi tetesi za wabunge wa ccm kufanya maamuzi zililenga kupotosha umma na kupunguza uzito wa mjadala wa ufujaji fedha wa baadhi ya mawaziri.... Huenda tumeshapotea bunge litaahirishwa bila tamko lolote kuhusu ufisadi unaoendelea nchini
 
nimeshawaambia mtasubiri weeee, na kauli yake ya mwisho ni kwamba TUKUTANE DODOMA TAREHE 5 JUNI SAA TATU ASUBUHI KWA MKUTANO WA BUNGE LA BAJETI. ASANTENI!
 
Back
Top Bottom