Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Anataja majina ya kamati ya katiba na kuwapongeza wajumbe wa kamati hiyo, na anaowaomba wananchi waipe ushirikiano wakutosha pindi kamati itapoanza kkufanya kazi yake
 
WATU TUNA HASIRA NA UBADHIRIFU WA PESA ZETU HAPA YEYE ANAKUJA KUIPONGEZA SIMBA SPORTS CLUB SISI INATUSAIDIA NIN?
Hii haivumiliki kabisaaa..!!
 
Sidhani kama kuna jipya atakalosema huyu..
anawapongeza Simba kwa ushindi,
anawatakia Marehemu wa ajali mbalimbali wa R.I.P
anataja wajumbe wa Tume ya Katiba
anawataja washindi wa Bunge la EAC
sijui na mifuko gani anaitaja hapa,
ashanichosha..!
 
Kwa hii hotuba ya mtoto wa mkulima nataka niwahakikishie kwamba hakuna waziri hata mmoja kujiuzulu! Itakuwa ni bonge la hatua kwa ccm ambayo sidhani kama wanauwezo wa kuchukua!

Tusubiri tuone ila ninaamini hakuna ishu hapa!
 
Bado anapiga siasa!

Yupo busy kuelezea changamoto zinazozikabili Mifuko ya Hifadhi ya Jamii e.g NSSF and the likes.
 
Sioni dalili zozote za kuwajibika..... I am so disappointed now.... Yaani he is tooooooooo general anasomaaaaa maana analetewa tu na kutoa +ves kuonyesha matumaini
while hali ni mbaya sana, wezi wanastarehe
 
Hana la maana kabisa,nahisi anajua tunamtazama kupitia TV,MBONA KAMA ANAONA AIBU.Ebana kweli huyu PINDA Nati.
 
Back
Top Bottom