Mwita Maranya huwa unanichekesha. Muktadha wa hiyo post ni kwamba CDM wameshangilia leo sijui na jana kwa Silinde hivyo wanapozwa na kuanza kukubali kwamba haki imetendeka. Baada ya muda tena wageuke kwamba haki haikutendeka.Kimbunga,
Tunatambua kabisa hila zinazofanyika na chama na serikali yenu kuhakikisha mnapora haki ya wanaubungo kupitia mhimili unaoyumba wa mahakama kwa kuwatumia majaji wa vodafasta, baada ya kushindwa kuchakachua ndani ya sanduku la kura.
Tunatambua ni kwa kiasi gani mnapenda ushindi wa mezani, lakini tumejiandaa vizuri sana kukabiliana nanyi. Tunasubiri hukumu ya Ubungo kwa shauku kubwa sana, kwani tayari maluwe luwe yameshaanza.
Mwita MaranyaFeedback,
Kadri navyofahamu, kulikuwa na kesi ya kupinga ushindi wa Mh. Opulukwa. Lakini ripota anasema kesi dhidi ya pingamizi alilokuwa amewekewa.
Kwahiyo nilitaka anyooshe maelezo yake, ingawa nilikuwa nafahamu kwamba kwa taarifa hii Opulukwa atakuwa ameshinda kesi ya kupinga ushindi wake wa kuwa mbunge.
Katika lugha ya kimahakama/kisheria, ukizungumzia kitu kinaitwa pingamizi unakuwa na tafsiri fulani.
anyway, all is well, tuendelee kuvuta subira kusikiliza kitakachotokea Ubungo, maana huko ndiko macho yote yameelekezwa.
Bukutonaga kama sijakusoma vizuri.
Opulukwa ameshinda kesi ya kupinga ushindi wake wa ubunge ama kesi dhidi ya pingamizi alilokuwa amewekewa, na kama ni pingamizi lipi hilo?na hiyo itamaanisha kwamba kesi haijaisha!?
Mungu ashukuriwe kwa kuwaweka mafsadi mbali
cdm ikishinda haki imetendeka, ccm ikishinda judge kahongwa! Naomba msada hapa.:a s confused:
Haki imetendeka. Taraaatiuuu Ubungo inawekwa kwenye kilengeo.
KimbungaMwita Maranya huwa unanichekesha. Muktadha wa hiyo post ni kwamba CDM wameshangilia leo sijui na jana kwa Silinde hivyo wanapozwa na kuanza kukubali kwamba haki imetendeka. Baada ya muda tena wageuke kwamba haki haikutendeka.
Mwita Maranya huwa unanichekesha. Muktadha wa hiyo post ni kwamba CDM wameshangilia leo sijui na jana kwa Silinde hivyo wanapozwa na kuanza kukubali kwamba haki imetendeka. Baada ya muda tena wageuke kwamba haki haikutendeka.
Mkuu katika miongoni mwa wabunge wa CDM Mnyika ni mmoja wa ninaowakubali sana. Ni mbunge wangu na wala sitamani hata kidogo avuliwe ubunge. Mnyika ana hoja ambazo huwa zimetafitiwa kwa umakini mno. Juzi tu kwenye Kikao cha Bunge alitoa pendekezo moja juu kupinga na kurekebisha kauli ya Kamati ya Bunge kutoa uamuzi kwamba TPA ichukue mkopo sijui toka wapi na kazi apewe kampuni ya CCCC nikaona Kijana anazama sana. Aliunganisha mambo mengi toka pande mbalimbali na alitoa pendekezo zuri sana. Kwa sisi tunaojua, kwa pendekezo lile Mnyika aliwakata baadhi ya watu maini.
Namkubali Mnyika.
jaji mdini anapendelea wakristo wenzie wa chadema
Mikakati ya Segerea vipi?? Hilo jimbo limenuiuma sana