Wana Bodi hapa ni nderemo na chereko kwa pamoja CDM tumetoka kidedea tena hapa ktk viwanja vya mahakama Maswa tumeyagalagaza tena Magamba.PEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEOOOOOOOOOOOOOPPPPPPPPPPPPLEEEEEEEES, P O W E R FOR LIFE!
:clap2:
source: mIMI MWENYEWE
Bukutonaga kama sijakusoma vizuri.
Opulukwa ameshinda kesi ya kupinga ushindi wake wa ubunge ama kesi dhidi ya pingamizi alilokuwa amewekewa, na kama ni pingamizi lipi hilo?na hiyo itamaanisha kwamba kesi haijaisha!?
Tulianza na Mungu na tutamalizia na Mungu. Long live Opulukwa.
Haki imetendeka. Taraaatiuuu Ubungo inawekwa kwenye kilengeo.
jaji mdini anapendelea wakristo wenzie wa chadema
Haki imetendeka. Taraaatiuuu Ubungo inawekwa kwenye kilengeo.
Feedback,Mkuu Mwita Maranya ni kweli hujui kuwa Opulukwa alikuwa amewekewa pingamizi na wana CCM? Pingamizi limetupwa kwa hiyo ameshinda kesi.
Du! hii kali ya mwaka!jaji mdini anapendelea wakristo wenzie wa chadema
Kimbunga,Haki imetendeka. Taraaatiuuu Ubungo inawekwa kwenye kilengeo.
Mkuu Mwita Maranya ni kweli hujui kuwa Opulukwa alikuwa amewekewa pingamizi na wana CCM? Pingamizi limetupwa kwa hiyo ameshinda kesi.