Mhe. Freeman Mbowe, Salva Rweyemamu, Waunguruma BBC Kuhusu Mkutano wa JK na CHADEMA!

Mkuu, pamoja na kuwa wewe ni tatizo, lakini pia unamatatizo. Fikra zako ni kuwa Ikulu ni sawa na ofisi CCM ambazo mnageuza vijiwe vya soga na majungu.

Pamoja na hilo, nina mashaka na tabia yako. Inaonyesha kama vile wewe ni mtu uliyezoea kusutwa. Unafikiri Kamati ya CHADEMA nayo iko hivyo. POLE!!

Hapo sasa ndo napataka, mwambie huyo.
 
Mzee Zomba kanitonya kuwa Pasco ni System na Rweyemamu ni System na Mohamed Rweyemamu ni system na Salva anamlinda Fatma (shemejie) madudu aliyofanya, nasikia anapewa tenda zote za kuchimba visima wakati ana mashine moja tu ya kuchimbia visima. Tena hamalizi kazi. Jee kuna ukweli?

Hakuna ukweli.
 
Nakubaliana nawe kwa kiasi fulani lakini sii kuhusu katiba. kama fadhila JK kisha walipa wote.. JK kisha waweka wafadhili wake wote as billioneas hawahitaji mamlaka makubwa serikali isipokuwa wanahitaji mamlaka makubwa ktk system yenyewe (Bunge, Mahakama na serikali) MONEY = POWER.

Kumbuka tu kwamba hakuna nchi duniani inayoongozwa na kitabu bali WATU na watu hao wanatakiwa kuwa somesort of a Cartel, a system kama ile ya skull ambao wata recruit viongozi wajao bila kujali chama cha siasa. Huko ndiko tunakoelekea na hawa wazee wafadhili wake au chama wanalijua hilo hivyo watahakikisha kila sehemu muhimu wamekamata au wana pandikizi ambaye ni answerable kwa kundi hilo..

Hivyo, katiba mpya inaweza kabisa patikana lakini nyuma ya katiba kuna kundi ya wazee ambao watahakikisha tunamweka rais ambaye anakubalika. Jiulize mwenyewe why candidates wote wa urais au waziri mkuu huchaguliwa na vikao vya vyama na sii wananchi? Obama vs McCain hawakuchaguliwa na wananchi kuwa finalist bali vyama vyao na vyama vipo chini ya Cartel achana na hizo itikadi... Katiba ni mwongozo tu, hata Makanisa yana Biblia lakini Upapa haupatikani kwa uzalendo ama kuijua dini vizuri zaidi - Hii ndio dunia tunayokwenda kesho.

All we asking ni katiba na JK anatafuta umaarufu wa kudumu.. he will make sure haondoki kama Mkapa. Less power to the coming President, nafuu kwa utawala wake na wahisani wake Can control almost everything kwa sababu rais hana nguvu tena na vyama vingine vtote havina watu ndani ya system -Mmihimili ya serikali iliyopo.

- Katiba itakuwa mpya lakini WATU hawatakuwa wapya... Think about that..


Mkandara nakubaliana na wewe, yote usemayo ni sawa. Shida ni kuwa hayo makundi au "cartels" nyuma ya pazia ndani ya CCM yamekwisha kuwa mengi sana! Na kila siku inavyozidi kwenda yanazuka zaidi na zaidi. Sote tunajua yanazidi kuzuka kwa sababu kila siku interests zinatofautiana. Sasa basi ni ukweli ulio wazi kuwa kwa sasa CCM imepoteza umaarufu mbele ya jamii ya kawadia. Wananzi wa CCM, najua watapunga hili; wenye akili wataelewa, maana tumeona jinsi CCM kilivyoadhirika Igunga, na hasira ya wananchi juu ya CCM iko wazi kabisa hasa vijana, ambao wana-constitute majority katika wapiga kura.

Kama JK atawasikiliza CDM na kutosini muswaada, maana yake atakuwa ana-pave way to uundaji wa katika itakayo milikiwa na wananchi, meaning, zile organs zote zilizokuwa msaada kwa CCM kuhakikisha wako katika power zitakwisha; wakina Kiravu, UwT, polisi, wakina Shimbo, na wengineo watatakiwa kitatiba ku-play fair game kwa mazingira ya sasa kama nilivyosema hapo juu CCM haikubaliki kwa wapiga kura wengi. Ni wazi tutayaona ya Zambia. Hii ni hatari kwa well-being yake na manyang'au yote waliokwisha iba maana wataangukia mikononi mwa umma kujibu tuhuma!!!!

Nilivyokuwa napongelea wadeni, nilimaanisha kundi lake ambalo pamoja na fadhila walizokwisha lipwa bado wana kiu na madaraka; pia kumlinda yeye na cartels wenzake!!

Swali ni kuwa yuko tayari kwa hili just because anataka kuandika history!!!
On the other hand, duh JK anapenda sifa sana..............
 
Acheni ushamba watu wa Tanzania. Muswada kama Chadema walikuwa wanaupinga wangeingia bungeni kuupinga. Sasa, baada ya kushindwa kuupinga kwa sababu ya kuzidiwa na CCM then wangetaka kumwona Rais kama wanavyotaka sasa. Short of that ni umbumbu uliopitiiliza. Kitendo cha kuususia ni ushenzi na ujinga wa hali ya juu sana. They have a wrong card on this.
Na hata sielewi inakuwaje watu wenye akili humu forum wanajadili kitu ambacho kiko wazi namna hii. Ninapata wasi wasi kuwa asilimia kubwa wa wabongo ni mbumbumbu wa kutupwa

Siyo Kosa lako kichwa chako kilishaacha kazi siku nyingi siku hizi unatumia visigino kufikiri ndiyo maana huoni ni kwa nini watu waliondoka wakati wa kujadili ule mswada nina wasiwasi na uelewa wako juu ya namna mswada unavyopita, stubbornness ya Magamba hata CDM wangebaki wasinge zuia chochote kwani nao ni kama wao walishaweka store bongo zao kilichobaki ni ushabiki wa kichama hata katika mambo yanayohitaji umakini mkubwa kama hili la katiba. Afadhali umejionyesha wazi kuwa wewe ni wa aina ileile.
 
unafikiri mnakweda kwa Jk kunywa na kula chakula. hoja zikiwa dhaifu Jk atazitupilia mbali na kusonga mbele kusaini muswada kuwa sheria

Ndugu kipepeo! kula na kunywa ikulu??? hivi hujiulizi sumu Mwakyembe alipewa wapi? basi hilo viongozi wa cdm wanalijua hawatakula wala kula chochote hapo ikulu.
Na JK kakubali ili waende awape sumu wote! maana anachuki nao kubwa kama hujui.
 
mi nahisi wanaochangia humu kusifia magamba ni wale wanaoishi nje kwa fedha za watz zinazoibiwa na wajomba zao,mabw...a zao wanaotuibia,sidhani mtz wa kawaida atabeza harakati za mageuzi na kushughulikia wezi,nakereka sana kuona watu mnatetea uozo,hapa ni pa wanaofikiria na si watetea uozo,please.
 
mi nahisi wanaochangia humu kusifia magamba ni wale wanaoishi nje kwa fedha za watz zinazoibiwa na wajomba zao,mabw...a zao wanaotuibia,sidhani mtz wa kawaida atabeza harakati za mageuzi na kushughulikia wezi,nakereka sana kuona watu mnatetea uozo,hapa ni pa wanaofikiria na si watetea uozo,please.
Jadi, nyie mnaotaka kutuharibia jukwaa letu na kulifanya lionekane kama kijiwe cha watu wa chama fulani. CCM inajitamba ina wanachama milioni 4, unamaanisha hana haki ya kuchangia humu jf kuisifia CCM yao?.

Huo unaouta uozo ndio chaguo la Watanzania ndio maana wako siti ya mbele wakishikilia usukani. Unamaanisha walioichagua CCM wamechagua uozo?.

Hapa jf, ni mahali pa wanaofikiria na si watetea uozo!, unamaanisha watetezi wa CCM humu hawafikirii, wanaofikiria ni wanaharakati tuu wa mageuzi?.
 
Mzee Zomba kanitonya kuwa Pasco ni System na Rweyemamu ni System na Mohamed Rweyemamu ni system na Salva anamlinda Fatma (shemejie) madudu aliyofanya, nasikia anapewa tenda zote za kuchimba visima wakati ana mashine moja tu ya kuchimbia visima. Tena hamalizi kazi. Jee kuna ukweli?
Duh! Kumbe!,
Ila bado, nakukaribisha!.
Pasco.
 
Back
Top Bottom