Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 159
nani ana namba ya kubenea ?pole sana mkuu wa kazi.
wameziasi fikra za mwalimu na wamekosa pa kushikilia,
wanapofusha watu ili wasione uozo unaofanyika,ila mkono na masikio yatatoa habari za kuwashtua,
maswali magumu yataendelea kuulizwa bila uoga na watakomaa,
mwaka huu lazima wajiunge nasi