Mhariri Mtendaji wa gazeti la Uhuru, Ernest Sungura CCM mlifanya usaili?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,333
24,228
777777-660x400.jpg

Gazeti la Uhuru lina Mkurugenzi Mtendaji wake Ernest Sungura.

Kwa wale wasio mfahamu huyu mheshimiwa, alikuwa akiongoza vile vile TMF, Tanzania Media Fund.
TMF ilikuwa ikitoa fedha za wafadhili katika vyombo vya habari kuendeleza uweledi wa The Free Press
TMF chini ya Sungura ilikuwa kichaka kilichokomaa cha rushwa.
Hali ya rushwa hapo ilikuwa mbaya..mbaya...mbaya.

Programme officers hapo walikuwa wakidai cha mbele kila wakitoa subventions za fedha toka kwa wafadhili.

Hali ikawa mbaya na malalamiko kutoka kwa walengwa yalikuwa makubwa hadi ikafikia wafadhili kusitisha misaada ya miradi.

Hivyo niliposikia Sungura anakuwa Mkurugenzi Mtendaji wa gazetinla Uhuru, nikajua wamelamba gharasha.
 
Sungura mjanja. Alitaka kujua mama anautaka urais 2025-2030 au lah!

Jibu keshapata. Sasa ataomba msamaha maisha yaendelee!
Wote hawa sungura tu, wanatizuga, na tuendako mwanakijani atakuwa na kese kubalansisha ubambikiaji, ili tusiendelee kuwashikia kidedea. Ila ujumbe wa mapema hatidanganyiki.
 
Nitawashangaa sana wanaume wenzangu ndani ya chama iwapo watakubali kuendeleza unyonge! Yaani tuendelee kuonekana Mabushoke!!

Siku zote Mwanaume ndiye kichwa cha familia bhana!! Tuungane kwa pamoja 2025 kuiondoa hii sintofahamu, ili isionekane kama ni jambo la kawaida vile!
 
Huyu ni kada wa CCM siku nyingi .Kumbe si kweli kwamba magazeti ya chama na serikali siku hizi hayahaririwi Ikulu kama zamani
 
Back
Top Bottom