R I P Danny..mods itoeni ile thread ya ajali au ziunganisheni.
Alikuwa anaumwa ugonjwa gani usiokuwa na tiba? Hata hivyo apumzike kwa amani.
Huwa nasomaga title tu ili kuokoa muda, lakini asante mkuu nimeelewaDu inamaana ujasoma habari yote???
Namaanisha JK huyo huyo unayemjua alisharudi siku nyingi.I doubt unamaanisha JK yupi maana JK tumjuaye yupo SA.
asilimia mia na kumi ni jirani yangu hapa tabata,was a goodfriend of mine, is no more,rip kaka dannyhii taarifa ina ukweli kiasi gani?mods tusaidiane ku-verify!