Mhadhiri maarufu Selemani Kishki ahojiwa na polisi

Status
Not open for further replies.
jamani kuna habari ktk mitaa yangu, zinanipa haiba ya kujua ukweli, naomba mwenye habari kamili aweke hapa, eti mhadhiri wa kiislam sheikh Nurdini Kishki katekwa nyara na watu wasiojulikana, mwisho naomba kuwasilisha.

Pole sheikh. huyu sheikh ni jembe sana. maana ameenda shule
 
INAELEKEA HAO WATANGAZAJI WA HICHO KIREDIO HAWAKO SAWA KWENYE HALMASHAURI YA VICHWA VYAO!!!
Sasa ni sababu zipi zilizopelekea wao kutangaza kwamba ametekwa wakati hakuna mazingira yoyote ya utekaji? Au kila anayekamatwa na polisi redio zitangaze kwamba ametekwa na hajulikani aliko? Non Sense, TCRA wawe wanaangalia wanapotoa vibali vya kurusha matangazo kwa public.

alosema katekwa amezusha maana amesikia as tetes,si kwamba redio iman imesema ametekwa mdau
 
Huyu ni Mhadhiri au ni mhubiri..naomba kujua hili ikiwezekana mturushie CV yake..Maana tusije tukawa tunatumia vibaya maana ya neno Mhadhiri..tena maarufu. Anafundisha chuo gani, elimu yake etc.

angalia kwenye KAMUSI ya TUKI mhadhiri ni NANI????,huenda umeathiriwa na tafsiri sisisi
 
jamani kuna habari ktk mitaa yangu, zinanipa haiba ya kujua ukweli, naomba mwenye habari kamili aweke hapa, eti mhadhiri wa kiislam sheikh Nurdini Kishki katekwa nyara na watu wasiojulikana, mwisho naomba kuwasilisha.

Anzia hapo mtaani kwako kupata ukweli, then polisi, malizia Mabwepande
 
jamani kuna habari ktk mitaa yangu, zinanipa haiba ya kujua ukweli, naomba mwenye habari kamili aweke hapa, eti mhadhiri wa kiislam sheikh Nurdini Kishki katekwa nyara na watu wasiojulikana, mwisho naomba kuwasilisha.

Isijeikawa ni namna ya serikali ya ku-divert attention ya utekwaji wa Ulimboka, kuonyesha kuna watekaji wameingia nchini ili kujisafisha? Inawezekana pia ametekwa kweli; hebu watu wake wakaribu wafuatilie maana serikali hii ikishaishiwa inaanza kuweka mazingira ya migogoro ya udini na ukabila.
 
kwa udhalilishaji wa polisi hawa wa kanisa then wanaomba radhi! Ujinga waufanye na kuwatesa kwa kuwa waislam,
 
Mkuu jazba ya nini tulizana subiri usikie habari vizuri wewe unaona binadamu ni Ulimboka peke yake.

Hata mimi nashangaa hapa yule mbunge wa CCM alosema Ulimboka katekwa na CDM watu wamemshambulia kwa kila matusi hapa kuwa sio binadamu'ila leo Kishki hao hao waliomshambulia Manyanya ndio wamekuwa wakwanza kumkashifu Kishki'haya huo ubinadamu mliokuwa mnautaka uko wapi?au Ulimboka tu ndio mtu?huu udini wenu umewakaa pabaya nyinyi'ndio maana mmekuwa kama yule Mr,washwawashwa
 
jamani kuna habari ktk mitaa yangu, zinanipa haiba ya kujua ukweli, naomba mwenye habari kamili aweke hapa, eti mhadhiri wa kiislam sheikh Nurdini Kishki katekwa nyara na watu wasiojulikana, mwisho naomba kuwasilisha.

[h=6]NEWS UPDATE: SAKATA LA KUKAMATWA KWA MASHEIKH.

SHEIKH NURUDIN KISHKI: amesema tatizo limekwisha kwa kuwa polisi wamekiri kosa kwahiyo mambo yameenda vizuri na akatoa ayah kidogo mbora ni yule mwenye kusamehe pale anapokosewa.

MKUU WA MKOA WA PWANI: ameomba radhi pia na kuwataka waislamu watulie na watulize jazba..anasema lengo lilikuwa ni kuangali usalama hasa baada ya kupewa taarifa na rai kuwa huenda wanahisi kuna wahamiaji haramu(wasomali).

KAMANDA WA POLISI: ameomba radhi na kusema walipata..
[/h]
 
mmh, mbona hana impact kwa jamii, sababu sijasikia chombo chochote kikubwa cha habari kikisema hii mambo

Ngoja sikumoja tumkamate padri! Tunamvua kanzu anaiweka begani halafu tunamrusha kichurachura uone magazeti,tv,wanaharakati,Jf,na vyama watakavyopiga kelele! Nadhani hapo umenipata! Kwa muislam sio ishu ila kwa mkristo hatutalala kama .......!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom