Ujiiiiinga mtupu huo!!!
Akili za kijinga kweli kweli eti ili ije ionekane kana kwamba hata UTEKAJI wa Dr Ulimboka nao ulikua ni tukio la kawaida tu. Ujinga kweli kweli yani!!!
Mwisho wa siku utasikia kwamba 'wamemteka' Stella Manyanya kabla ya kumfikia mlengwa halisi.
Bure kabisa wala haamna kitu pale!!!
Walikuwa wanafikiri ameficha gobole au unga nini? Nadhani kwenye kile kipindi cha radio imaan cha j'pili issue itakuwa ni hii ya kuvuliwa kanzu na tamko la maaskofu wakatoliki.kishki ni mhadhir wa kiislam ambae hutoa mawaidha ya kiislam kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini,na pia hutoa mawaidha yake kupitia kituo cha redio cha redio imaan,even leo alfajiri nilimsikia(ila huwa rekodedi),sasa waliotoa taarifa hiyo ni hao redio iman,na in fact hajatekwa ila polisi walimshuku yeye na watu aliokuwa nao kuwa ni majambaz,tukio limetokea bagamoyo,,,,,,walilazimishwa kuvua kanzu zao,ila taarifa zaidi tutazipata,,,,,,
............,na POLISI walisema kuwa waliwashuku huenda ni majambaz...........
Wakuu huyu mhadhiri naye anatuhumiwa nini hadi kutekwa? Hii style sasa siyo na ningeomba serikal kuhakikisha kuwa inakoma bila kujali mnufaika ni nani.jamani kuna habari ktk mitaa yangu, zinanipa haiba ya kujua ukweli, naomba mwenye habari kamili aweke hapa, eti mhadhiri wa kiislam sheikh Seleman Kishki katekwa nyara na watu wasiojulikana, mwisho naomba kuwasilisha.
kishki ni mhadhir wa kiislam ambae hutoa mawaidha ya kiislam kwen
ye maeneo mbalimbali hapa nchini,na pia hutoa mawaidha yake kupitia kituo cha redio cha redio imaan,even leo alfajiri nilimsikia(ila huwa rekodedi),sasa waliotoa taarifa hiyo ni hao redio iman,na in fact hajatekwa ila polisi walimshuku yeye na watu aliokuwa nao kuwa ni majambaz,tukio limetokea bagamoyo,,,,,,walilazimishwa kuvua kanzu zao,ila taarifa zaidi tutazipata,,,,,,
Muwahi mtamkuta Mabwepande
si utekaji kwakweli,,,ufafanuz huo hapo juu
Kuna mmoja kati yenu ama pengine wote hamkusilikiliza vizuri?George farahani said:Kweli,mi nimeckia redio imani wakitangaza,wametekwa na watu wenye bunduki mmoja wao akivalia jezi ya police,thz is bad