Mh raisi:..tunaomba mrudi tena tra+bandari swala la vyeti...

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,967
22,161
CHEPEO LAPOLICE.LIMEKUJA.MAPEMA.SANA MH RAOSI BAADA YA KUWEKA SAWA MAMBO YA KODI EMBU RUDI HUKO TENA HAKIKINI VYETI VYA SHULEE TUNAAMINI HESHIMA YA KAZI iTARUDI

FANYEN HILI KABLA YA KWENDA JESHINI KWENYEwE..
 
Hapa ndipo palipo na kazi.ondoeni hawa kwani hawakujua hata machungu ya kula maharage shuleni,wao walifikia mezani.
 
kuna jamaa angu wa tra yuko boda ya namanga..huyu jamaa gorm four alipata zero..ila juzi kati nakutana nae ananiambia ana vyeti safi vya secondary na cheti cha degree ya commerce kutoka udom na alipovipata ni kwamba alivichonga mtaani
 
Back
Top Bottom