Rais Samia komesha unadishaji wa mizigo bandarini

Zanaco

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
1,621
1,586
Mama samia raisi wetu mpendwa mama yetu msikivu naomba tondole hii kero ya muda mrefu sana wazuie TRA na TPA wasiuze mizigo ya Watanzania bandarini kwakisingizio cha kukosa pesa za kulipia kodi mizigo.

umewatia watu wengi umasikini mtu anaagiza mzigo kutoka nje ya nchi mzigo unafika nyumbani Tanzania inauzwa bila hata Kumpatia kifuta machozi muagiza na wengi ni wajasiriamali wadogo wana kopa hela kwenye taasisi za kifedha wanaagiza mizigo kisha ishaishia badarini huu sio ungwana.

Nfumo wakodi pia unapaswa kuwekwa wazi muagizaji kabla ya kuagiza mizigo anapaswa kujua gharama zote kuanzia gharama za TRA TPA TBS na Atho zingine zote waweka wazi ili waagizaji wajue kabla ya kuagiza kama TRA walivyofanya kwenye upande wa magari japokua kodi bado nikubwa mno.

Kama nfanya biashara anaeza kulipa mkopo bank kwanini TRA wasimpe mzigo wake na muda wakulipa badala ya kunadisha mzigo wa mjasiriamali na kumtia umasikini na madeni ya bank anayalipaje?

Kwanini Serekali kupitia TRA wasijenge yard kubwa nje ya bandari badala ya kuuza mizigo ya watu wajenge nje ya bandari ili muagizaji atafute wanunuzi angalau auze sehemu ya mzigo alipie kodi apewe mzigo wake.

kitambulisho cha Taifa kinashindwaje kumsaidia mwagizaji ndogo wa mizigo kujua taarifa zake za kodi kama anakopesheka ili apewe mzigo wake auze kisha alipie kodi badala ya kuuza mzigo wake mbona Unganda hawana bandari kama sisi lakini bidhaa bei nafuu hawanadishi mizigo ya watu.

Mbona hata nchi jirani hakuna utamaduni huu sisi umeupata wapi? Kwanini Serekali isifanye kama Durban tunachukua eneo kama Kigamboni tunalifanya free Duty mizigo inaingia bure kutoka inalipia pesa ya ushuru hii itasaidia sana kukuza uchumi nchi nyingi wataleta mizigo na nchi jirani watakuja kununua hapa badala ya kunadisha mizigo ya watu.

Kodi za custom ziko juu sana nfano ukitumiwa simu moja na ndugu yako kutoka nje ya nchi kwanjia ya Posta au pale airport Mwalimu Nyerere ni aiubu sana unatakiwa kuilipia kodi Fikiria Simu moja au Laptop moja used ni aibu kubwa sana tunadharirisha custom officers wetu nchi inaonekana inanjaa sana utafikiri tumetoka kupigana vita jana.

Mama yangu msikivu niko chini ya miguu yako tusaidie wanyonge tunaumizwa na bandari.
 
Hivi kwanini kodi yetu haiko wazi? Kila kitu tunaenda blindly. Unafanya biashara, halafu mwisho wa siku hujui kodi zitakuwaje? Huu mfumo wa kukisia unawanufaisha wala rushwa kuliko serikali. Huu mfumo ukomeshwe.

Pole sana mkuu. Kuna watu wanafikiri wote tukifilisika wao wataendelea kukusanya kodi. Kumbe watapewa redundancy maana watakuwa hawahitajiki.
 
Kiutaratibu unakuwepo muda labda tuseme miezi mitatu au sita,na hapa pia utalipia siku ambazo mzigo wako utakaa kwenye yadi za mamlaka ya bandari na huo tuchukulie kwa siku kuwepo bandarini utozwe 1500 hadi 2000 au elfu tatu.

Ila kwa umasikini tulionao iwe kwa siku ni 1000 na baada ya miezi sita unapigwa mnada serikali inachukua makato na gharama za kuendesha mnada kilichobaki analipwa mwenye mzigo kama yupo hai kama amefariki hela zinajengewa kisima.
 
Hivi kwanini kodi yetu haiko wazi? Kila kitu tunaenda blindly. Unafanya biashara, halafu mwisho wa siku hujui kodi zitakuwaje? Huu mfumo wa kukisia unawanufaisha wala rushwa kuliko serikali. Huu mfumo ukomeshwe...
Mtu hata biashara zakuuza mafungu ya nyanya barabarani inamshida anawaza kuuza mizigo ya watu wengine na kuwatia umasikini hata wanunuzi nao sio watu wazuri machoji ya muagizaji Ndio maana watu wengi wanapata sana ajali
 
Kiutaratibu unakuwepo muda labda tuseme miezi mitatu au sita,na hapa pia utalipia siku ambazo mzigo wako utakaa kwenye yadi za mamlaka ya bandari,na huo tuchukulie kwa siku kuwepo bandarini utozwe 1500 hadi 2000 au elfu tatu,ila kwa umasikini tulionao iwe kwa siku ni 1000 na baada ya miezi sita unapigwa mnada serikali inachukua makato na gharama za kuendesha mnada kilichobaki analipwa mwenye mzigo kama yupo hai kama amefariki hela zinajengewa kisima,
Mzigo wa local umepewa siku sita tu bila kutozwa storage mzigo wa transit umepewa mwezi moja tu hadi mizigo ishushwe kwenye meli ipewe position watu wa data wezikwe kwenye system week ni ndogo sana alafu wanahesabu kuanzia meli ikifunga sio baada ya kushusha mizigo

Meli inaweza kutumia siku tatu hadi mne kushusha mzigo nfano Meli inaweza kushusha magari yote au container za local zinakuwa na storage ya siku mbili tatu hadi sita bila sababu yoyote kila kitu umelipia mapema pia storege ni pesa nyingi Inategea na CBM ya mzigo kwenye storage ndio utata unakoanzia kunashida kubwa sana ukichelewa week moja ni pesa nyingi

Kwamuda wa miezi sita hata kama ni Duet kile kigari Kido acha Containe la 40ft storage ni kubwasana kupita ushuru na garama za bandari ningumu sana mwagizaji kupewa hata mia mbaya zaidi wanachaji kwa usd utafikiri tuko marekani
 
Wanashindwa kutengeza nfumo mzuri wakizalendo rafiki kwawanyonge, wasema tujiajiri kwamazigiraga?

Kenya mzigo wenye value chini ya dolla 5,000 unapita free kwenye kwenye kitengo cha custom hapa kwetu simu moja au laptop moja used tu nishida
Sasa mbona kenya hawana madini, milima, mbuga kubwa za wanyama kama sisi lakini budget yao ni 78T sisi 34T?
 
Kazi ya Serekali ni kuweka mambo sawa sio kugeuza fursa mtu akishapoteza mzigo wake ni mwanzo wa imasikini kuchukia serekali na kuongezeka kwa ujambazi
 
Mzigo wa local umepewa siku sita tu bila kutozwa storage mzigo wa transit umepewa mwezi moja tu hadi mizigo ishushwe kwenye meli ipewe position watu wa data wezikwe kwenye system week ni ndogo sana alafu wanahesabu kuanzia meli ikifunga sio baada ya kushusha mizigo

Meli inaweza kutumia siku tatu hadi mne kushusha mzigo nfano Meli inaweza kushusha magari yote au container za local zinakuwa na storage ya siku mbili tatu hadi sita bila sababu yoyote kila kitu umelipia mapema pia storege ni pesa nyingi Inategea na CBM ya mzigo kwenye storage ndio utata unakoanzia kunashida kubwa sana ukichelewa week moja ni pesa nyingi

Kwamuda wa miezi sita hata kama ni Duet kile kigari Kido acha Containe la 40ft storage ni kubwasana kupita ushuru na garama za bandari ningumu sana mwagizaji kupewa hata mia mbaya zaidi wanachaji kwa usd utafikiri tuko marekani
Basi hii nchi ni ya hovyo sn kupita maelezo
 
Ni hatua zipi zinafuatwa kabla ya mzigo wako kupigwa mnada? Au wanakurupuka tu wanapiga mnada? Angalieni tusimbebeshe Mama kila mzigo mingine tuibebe wenyewe.
 
Mama samia raisi wetu mpendwa mama yetu msikivu naomba tondole hii kero ya muda mrefu sana wazuie TRA na TPA wasiuze mizigo ya Watanzania bandarini kwakisingizio cha kukosa pesa za kulipia kodi mizigo.

umewatia watu wengi umasikini mtu anaagiza mzigo kutoka nje ya nchi mzigo unafika nyumbani Tanzania inauzwa bila hata Kumpatia kifuta machozi muagiza na wengi ni wajasiriamali wadogo wana kopa hela kwenye taasisi za kifedha wanaagiza mizigo kisha ishaishia badarini huu sio ungwana.

Nfumo wakodi pia unapaswa kuwekwa wazi muagizaji kabla ya kuagiza mizigo anapaswa kujua gharama zote kuanzia gharama za TRA TPA TBS na Atho zingine zote waweka wazi ili waagizaji wajue kabla ya kuagiza kama TRA walivyofanya kwenye upande wa magari japokua kodi bado nikubwa mno.

Kama nfanya biashara anaeza kulipa mkopo bank kwanini TRA wasimpe mzigo wake na muda wakulipa badala ya kunadisha mzigo wa mjasiriamali na kumtia umasikini na madeni ya bank anayalipaje?

Kwanini Serekali kupitia TRA wasijenge yard kubwa nje ya bandari badala ya kuuza mizigo ya watu wajenge nje ya bandari ili muagizaji atafute wanunuzi angalau auze sehemu ya mzigo alipie kodi apewe mzigo wake.

kitambulisho cha Taifa kinashindwaje kumsaidia mwagizaji ndogo wa mizigo kujua taarifa zake za kodi kama anakopesheka ili apewe mzigo wake auze kisha alipie kodi badala ya kuuza mzigo wake mbona Unganda hawana bandari kama sisi lakini bidhaa bei nafuu hawanadishi mizigo ya watu.

Mbona hata nchi jirani hakuna utamaduni huu sisi umeupata wapi? Kwanini Serekali isifanye kama Durban tunachukua eneo kama Kigamboni tunalifanya free Duty mizigo inaingia bure kutoka inalipia pesa ya ushuru hii itasaidia sana kukuza uchumi nchi nyingi wataleta mizigo na nchi jirani watakuja kununua hapa badala ya kunadisha mizigo ya watu.

Kodi za custom ziko juu sana nfano ukitumiwa simu moja na ndugu yako kutoka nje ya nchi kwanjia ya Posta au pale airport Mwalimu Nyerere ni aiubu sana unatakiwa kuilipia kodi Fikiria Simu moja au Laptop moja used ni aibu kubwa sana tunadharirisha custom officers wetu nchi inaonekana inanjaa sana utafikiri tumetoka kupigana vita jana.

Mama yangu msikivu niko chini ya miguu yako tusaidie wanyonge tunaumizwa na bandari.

Pana mitanzania ina roho mbaya sana na hasa iliyokuwa imewekwa na yule mwamba huko TRA na TPA. Nia watu waishi kama mashetani tu.
 
Ni hatua zipi zinafuatwa kabla ya mzigo wako kupigwa mnada? Au wanakurupuka tu wanapiga mnada? Angalieni tusimbebeshe Mama kila mzigo mingine tuibebe wenyewe.
Mzigo unapigwa mnada badaa ya kuzuiwa na mamlaka kwamuda wa miezi sita kwasabu za mmiliki kukosa kodi hoja yako nini?
 
Mama anahangaika tuu. Ruhusu mizigo inayo anaagizwa kutoka njee iingie nchini bila kulipa kodi.

Mama Samia OYEEEEEE.
Soma vizuri bandiko langu sijasema wasilipe kodi hoja yangu mapinga uzwaji wa mizigo badala kuweka utaratibu mzuri wakuwasaidia watu wenye mitaji ya chini badala ya kuuza mizigo yao

Nchi nyingi wanafanya hivyo nenda Uganda au Konya zambia wapi kuna minada ya kuuza Mali ya wananchi wao

Kodi yenyewe nikubwa 100% nfumo hauko wazi kilakitu kiko gizani

Mtu anaagiza mzigo una cost dolla elfu 10 ushuru unamwambi alipe zaidi ya dolla elfu 10 unampa week moja unaona sawa?

Ungekua unaafanya biaahara ungenielewa kuna watu wengi sana waumizwa kila siku nautaratubu na ubabe bila kutumia akili

Ukisha nasiaha mzigo wa watanzania mwezako kesho utakuaanya nini?
 
Mzigo unapigwa mnada badaa ya kuzuiwa na mamlaka kwamuda wa miezi sita kwasabu za mmiliki kukosa kodi hoja yako nini?
Wewe ulitakaje? Mzigo ukae bandarini miaka mitano wakati unaitafuta hio Kodi?
 
Nataka mizogi isinadishwe kwakisingizio cha mtu kupungukiwa au kukoda kabisa kodi

Wewe ulishawai fanya biashara gani au ulisikia wapi serekali gani inauza mizigo ya watu wake

kitambulisho cha urai kwetu kinakazi gani Tanzania au TIN namba zinafanya kazi gani?

Kama kila nfanya biashara record zake za kodi ziko vizuri kwanini asipewe mzigo wqke mbona barabara Police wanatuandikia fine tunaondoka kisha tunalipa kwanini police wasiondoke na magari yanayodaiwa fine
 
Nataka mizogi isinadishwe kwakisingizio cha mtu kupungukiwa au kukoda kabisa kodi

Wewe ulishawai fanya biashara gani au ulisikia wapi serekali gani inauza mizigo ya watu wake

kitambulisho cha urai kwetu kinakazi gani Tanzania au TIN namba zinafanya kazi gani?

Kama kila nfanya biashara record zake za kodi ziko vizuri kwanini asipewe mzigo wqke mbona barabara Police wanatuandikia fine tunaondoka kisha tunalioa?
Kwahio unataka ukileta mzigo utoe bure au ukae bandarini bure mpaka utakapoamua kuutoa?!
Nakushauri jipange kabla hujaleta mzigo,ukijichanganya utapigwa mnada na kuna watu shughuli Yao ni kununua mizigo ya minada.
 
Back
Top Bottom