Mh Rais, Kwanini hujibu tuhuma za Lowassa dhidi yako?

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Mh Rais swala hili limezua mjadala miongoni, tunaomba majibu haraka ikibidi. Kwa nini hujibu mapigo dhidi ya tuhuma za Mh Lowasa alizozitoa nec juu yako.

Kukaa kwako kimya kunafanya tuamini kuwa wewe ndio muhusika mkuu wa RICHMOND. Vinginevyo unambebesha zigo la dhambi lisilostahili Mh Lowasa. Au tuamini kuwa mh Lowasa ni jasiri kuliko wewe?
 
Ni nani awezaye kuukanusha ukweli ukawa uwongo na akaaminika??!!

Kwa maana hiyo mkweree anambebesha Lowassa zigo la zambi kuhusu kashfa ya Richmond? Kama hawakuwa washirika wa uhujumu huo kwanini Lowassa toka mwanzo alikubali kulibeba zigo hilo peke yake na kuanza kumwaga mboga pale alipotishiwa kuvuliwa gamba?Mwalimu Nyerere angekuwa hai angesema wote Kikwete na Lowassa "MAJI GA NYANJA".
 
Kwa maana hiyo mkweree anambebesha Lowassa zigo la zambi kuhusu kashfa ya Richmond? Kama hawakuwa washirika wa uhujumu huo kwanini Lowassa toka mwanzo alikubali kulibeba zigo hilo peke yake na kuanza kumwaga mboga pale alipotishiwa kuvuliwa gamba?Mwalimu Nyerere angekuwa hai angesema wote Kikwete na Lowassa "MAJI GA NYANJA".

hv kwanini hampendi kuamini kwamba JK ni fisadi no 1.
 
Hana ujanja wa kujibu tuhuma kwani anamuogopa Lowasa kama ukoma, na bado EL hajatoa siri zote kwahiyo akijitetea nae akajibu mapigo ****** hali itakuwa mbaya.
 
rweymam mi namuona mtupu kichwani,jk hawezi kudiriki kujbu mapgo na amushukuruMZEE MKAPA aliyemshauri kusitisha hyo mada,tungeyajua menpi tka kwa lowasa ambaye urafiki wao hawakukutana barabarani
 
lowaSA NI MFA MAJI.MBONA HAKUYASEMA HAYO WKT ANAJIUZULU?HUU NI UNAFIKI NA Usanii wa kisiasa wa kutaka huruma ya watz.
 
kwani yeye hajipendi,mchezo mzima anujua halafu ................................................
 
Your steps are far foward man. Th journey should start from here>kwa nini hataki kusema ukweli kuwa alipenya cc na Nec kidilidili hadi kusimama jukwaani kuomba ridhaa ya wananchi?hutaki ku kiri kuwa uliingia ikulu ki mambomambo baada ya kuona mambo magumu?hujatuambia kuwa kwa sasa uko busy kulipa fadhili,madeni,na ku maintain uchumi wako binafsi uliodorora baada ya uchaguzi mkuu?hujasema ukweli wowote kuhusu EPA na jinsi ilivyo kubeba hadi kuingia ikulu,hujawahi kutoa kauli yoyote ya maana kupinga Utete ulioghubika maisha na kifo cha Balali. Hujatuambia kinacho fukuta kati yako na Mh Waitara+kapuya?ni upi ukweli au uongo uliopo kwenye ile saga ya suti Tano? Hujatuambia lolote kuhusu sarakasi za Meremeta,deep green,kagoda,mwananchi nk. Ni kweli kuhusu tuhuma unazotupiwa kuhusu kesi hadi hukumu ya. Kina Babu seya?vipi kuhusu sakata la umeme je ni kweli kuwa magugu ya usiasa ndiyo yanayotafuna sekta?halafu hiviiiiii nikweli kuwa hawa vijana hawa yani hawa kina nanii huyu eeh Nape. Hawakutumwa na yeyote pale kijiweni kwenu pale kuzunguka krb nchi nzima wakitangaza habari njema za kuvuana magamba?halafu tena hivi yule jamaa yule dalali yule wa ile ishu ya mzee huyu mzee aliye kupigia pande yani nasema. Ile yaaaaa yaaaa ow ya rada hivi mpaka sasa. Unajua aliko? Si umeona hawa jamaa wa kule u inglish wameanza kiherehere sasa siku wakimtaka ili wampeleke pale post utaweza kuonyesha ushirikiano kweli au. Ndo yaleeee ya Mh hayati. Gavana ah hayo mengine tuachane nayo Huyu jamaa mwambie tu ukweli kuwa huyu EL simwogopi yeye kama yeye ila naogopa kile alichonacho moyoni hasa juu yangu na zaidi nikuwa sina jinsi ila kumrithisha kigoda kwa tofauti na yeye [EL]sitakuwa safe ntakaporudi uraiani.
 
kikwete amefanya kazi za umma maisha yake yote tangu alipomaliza masomo pale udsm hatujamskia kwny ufisadi leo tumwamini lowasa never
 
kikwete amefanya kazi za umma maisha yake yote tangu alipomaliza masomo pale udsm hatujamskia kwny ufisadi leo tumwamini lowasa never

we unachekesha sana,we ni mweupe sana kichwani heee,??????kazi kweli kweli,TUNAOMBA AJIBU MAPIGO BASI
 
Mungu endelea kufanya jambo Tanzania ijuwe upo.wahusika na vibaraka juweni Mungu ameamua kuikomboa Tz dhidi ya wezi na umasikini
 
Sasa handsome wa watu aseme nini jamani?
Yupo bize ikulu,karibuni NCCR wanaenda kunywa chai,halafu ninyi mmekazana kuongea ukweli tuuuuuuu!
Mnaboa sana,mwenyekiti wetu mnamuumiza mno kumwambia ukweli kwamba yeye ni fisadi!
 
Mh Rais swala hili limezua mjadala miongoni, tunaomba majibu haraka ikibidi. Kwa nini hujibu mapigo dhidi ya tuhuma za Mh Lowasa alizozitoa nec juu yako. Kukaa kwako kimya kunafanya tuamini kuwa wewe ndio muhusika mkuu wa RICHMOND. Vinginevyo unambebesha zigo la dhambi lisilostahili Mh Lowasa. Au tuamini kuwa mh Lowasa ni jasiri kuliko wewe?

Hivi ulitaka Rais ajibu kila upuuzi unaozungumzwa nje ya forum iliyomhukumu fisadi Lowassa? Hakuna mtu mwenye akili timamu na hasa Rais wa nchi anayeweza kujiingiza katika kazi isiyo na tija ya kujibu kila upuuzi. Lowassa ni kama mtu ambaye amehukumiwa mahakamani kisha anatoka na kwenda kukosoa hukumu nje ya mahakama wakati alikataa kujitetea kortini. Asubiri kufungasha virago kwenda kwa Kafulila na Hamad Rashid baada ya kutiwa adabu na Mukama na Kamati yake.
 
Back
Top Bottom