Mh Rais, Kwanini hujibu tuhuma za Lowassa dhidi yako?

Hana ujanja wa kujibu tuhuma kwani anamuogopa Lowasa kama ukoma, na bado EL hajatoa siri zote kwahiyo akijitetea nae akajibu mapigo ****** hali itakuwa mbaya.

Nani muoga? Yule aliyeshikwa na kigugumizi mbele ya bunge au Yule aliyeshtukia sanaa ya mwizi anayepigania kuukwepa mono wa sheria
 
Kwa maana hiyo mkweree anambebesha Lowassa zigo la zambi kuhusu kashfa ya Richmond? Kama hawakuwa washirika wa uhujumu huo kwanini Lowassa toka mwanzo alikubali kulibeba zigo hilo peke yake na kuanza kumwaga mboga pale alipotishiwa kuvuliwa gamba?Mwalimu Nyerere angekuwa hai angesema wote Kikwete na Lowassa "MAJI GA NYANJA".

Makubaliyano ilikuwa lowasa asafiswe akaterekezwa kazi iliyo baki kwa lowasa nikuanika ukweli
 
Hivi ulitaka Rais ajibu kila upuuzi unaozungumzwa nje ya forum iliyomhukumu fisadi Lowassa? Hakuna mtu mwenye akili timamu na hasa Rais wa nchi anayeweza kujiingiza katika kazi isiyo na tija ya kujibu kila upuuzi. Lowassa ni kama mtu ambaye amehukumiwa mahakamani kisha anatoka na kwenda kukosoa hukumu nje ya mahakama wakati alikataa kujitetea kortini. Asubiri kufungasha virago kwenda kwa Kafulila na Hamad Rashid baada ya kutiwa adabu na Mukama na Kamati yake.

Ntakujibu, subiri kwanza.
 
Unahitaji ushahidi gani kuamini kwamba jk ndo Richmond ? Atajibu nini wakati mpagazi aliamua kumrushia mzigo mwenye mzigo mwenyewe.
 
Sasa ndiyo nimemuelewa Chenge alipojitetea kwamba anaandamwa na umma kwa "Vijisenti" tu. Sote tulitafsiri kila mtu kivyake kumbe ukweli ni kwamba kama yeye alikuwa Mwanasheria Mkuu tu na akakutwa na pesa ile na anaandamwa, je ingekuwaje wangebaini mgao wa wachoraji wa "deal" lile la rada yaani aliyekuwa Rais, Waziri Mkuu, waziri na Katibu Mkuu! Mnaojidanganya JK atawachukulia hatua wahusika wa ufisadi wa rada bora mwende hospitali mpewe valium msinzie maana yeye si mjinga wa kujichukulia hatua mwenyewe.
 
Hivi ulitaka Rais ajibu kila upuuzi unaozungumzwa nje ya forum iliyomhukumu fisadi Lowassa? Hakuna mtu mwenye akili timamu na hasa Rais wa nchi anayeweza kujiingiza katika kazi isiyo na tija ya kujibu kila upuuzi. Lowassa ni kama mtu ambaye amehukumiwa mahakamani kisha anatoka na kwenda kukosoa hukumu nje ya mahakama wakati alikataa kujitetea kortini. Asubiri kufungasha virago kwenda kwa Kafulila na Hamad Rashid baada ya kutiwa adabu na Mukama na Kamati yake.

Kwani unavyojua wewe Lowasa amehukumiwa na nani? Tuhuma zipi za Lowasa zenye ushahidi kulinganisha na Kafulila?
 
Hivi ulitaka Rais ajibu kila upuuzi unaozungumzwa nje ya forum iliyomhukumu fisadi Lowassa? Hakuna mtu mwenye akili timamu na hasa Rais wa nchi anayeweza kujiingiza katika kazi isiyo na tija ya kujibu kila upuuzi. Lowassa ni kama mtu ambaye amehukumiwa mahakamani kisha anatoka na kwenda kukosoa hukumu nje ya mahakama wakati alikataa kujitetea kortini. Asubiri kufungasha virago kwenda kwa Kafulila na Hamad Rashid baada ya kutiwa adabu na Mukama na Kamati yake.
kikwetu mbopo maana yake ni upupu sasa huu ulio leta hapa ni upupu weight ya lowasa hailingani na kafulila au hamad mukama ni kama kisisimizi kwa lowasa kuonyesha mukama ni mtoto mdogo alishindwa kumzuia lowasa kuplant ving'amuzi kwenye mkutano wa nec mpaka sisi makabwela tukajua rais kachanwa live gamba mkubwa weee umetumwa?
 
Kwa maana hiyo mkweree anambebesha Lowassa zigo la zambi kuhusu kashfa ya Richmond? Kama hawakuwa washirika wa uhujumu huo kwanini Lowassa toka mwanzo alikubali kulibeba zigo hilo peke yake na kuanza kumwaga mboga pale alipotishiwa kuvuliwa gamba?Mwalimu Nyerere angekuwa hai angesema wote Kikwete na Lowassa "MAJI GA NYANJA".
yaaani hapo kwenye red umenifurahisha sana hilo neno nilikuwa nalitafuta siku nyingi
 
Mh Rais swala hili limezua mjadala miongoni, tunaomba majibu haraka ikibidi. Kwa nini hujibu mapigo dhidi ya tuhuma za Mh Lowasa alizozitoa nec juu yako. Kukaa kwako kimya kunafanya tuamini kuwa wewe ndio muhusika mkuu wa RICHMOND. Vinginevyo unambebesha zigo la dhambi lisilostahili Mh Lowasa. Au tuamini kuwa mh Lowasa ni jasiri kuliko wewe?

Akujibu nini tena wakati alishasema yeye na Lowassa hawakukutana barabarani?! Need he say more??
 
Back
Top Bottom