TWIZAMALLYA
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 397
- 81
inatosha.
Mkapa is a lot of worse things.. Ufisadi... ikiwa moja wapo (thou not yet proven).... But katika Maraisi walopita (Mwalimu pembeni) the most intelligent na the most calculated akijua fika nini anafanya. Jamaa anajua hali ni mbaya ya CCM na siwezi shangaa kama anatafuta upenyo wa kuhemea so that hata Chama kipya kikishinda waone ni mwenzao. Juu ya Mkapa na habari zake yananishangaza mambo mawili:-
- Ni kiongozi ambae alikua anakwepa saana vyombo vya habari wakati wa Uraisi na hata baada tu ya kustaafu na hasa pale zilipo rise kashfa juu yake... Kitu gani kimemfanya saizi ghafla bin vuu yupo kwenye Siasa related activities katika sura ya Media... na kwa nini saizi yupo more confident kuongelea Utawala na madhaifu yake.... Very very iff.... (IMO)
- Wanahabari wetu wa hapa Tanzania... Kitendo cha kusema wanakutana na the guy face to face na badala ya kumuuliza yale maswali ambayo yana linger katika back of our brains and for long... Wana entertain upuuzi wa kuendelea kuchapisha habari ambazo ni kama anajikosha... Hivi kwamba hawa wanahabari wamenunuliwa na hawana guts ya kuuliza the right questions... AU kwamba anawasiliana tu na wale wana habari ambao wapo katika his back pocket??
Ni kweli sisi ni wagumu kufikiri hajasema uongo! mlaumu kwa mengine.