Mh. Livingstone Lusinde Under Microscope?

Lusinde mitusi kajiua mwenyewe hata kama umetukanwa! 2 Wrongs doesnt make 1 right! Na ndo tatizo la brain maji jamaaa halifikilii mbali hat a kidogo, sasa magamba si unawajua? Yatamkaanga kwa hiyo hiyo clip mda si mrefu -Dec si mbali,na ubunge ajue ndo mwisho na hatokaa afanye Kazi yeyote ya maana

Badala ya kuwa mtaji kwa chama limekuwa liability!
 
Hizi ni baadhi ya Kumbukumbu zake kutoka katika tovuti ya Bunge:

General:

Salutation: Honourable
First Name: Livingstone
Middle Name: Joseph
Last Name: Lusinde
Member Type: Constituency Member
Constituent: Mtera
Political Party: CCM
Office Location: Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927

EDUCATIONS

Mbigili Primary School: 1980 – 1987 - PRIMARY CERTIFICATE
CCM College Ihemi: 2007 -2008 - CERTIFICATE


EMPLOYMENT HISTORY


Member of Parliament - Mtera Constituency - 2010 -2015



Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary - Tarime District
2006
2010
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Assistant Secretary/Accountant
2006
2007
CHADEMA
Member - National Executive Board
1995


Civic United Front, CUF
Secretary - Kawe Constituency
1992
1995
Chama Cha Mapinduzi, CCM

Secretary




mwenzenu macho yangu kama yana gizagiza hivi, sekondari wapi vile!!!!!
 
Uchaguzi fitna wakubwa...wote wanacheza rafu ila Kanya bata ndo mwasema sana. Nasema CCM oyeeee:yo:
 

Mr. Jakubumba,heshima kwako Mkuu!!!!
aksante kwa video ila nimepata mshtuko kidogo maana nimeshindwa na mpaka sasa ninashindwa kuamini nilichoona. Swali ninalo jiuliza na bado sijapata jibu ni kuwa MPUMBAVU na JANGILI kama huyu amewezaje kuwa mbunge?? sasa nimeamini kuwa bunge la JMT limegeuzwa kuwa cloaca maxima.

nimeona watu wengi wanaandika Mh. Lusinde what does Mh. stand for??? I hope it stands for MUHUNI.
what a shame!!!!!
 
jamani kuna msemo unasema maneno huumba ....... mtu anaitwa Livingstone .... yaani jiwe linanoishi ..... unategemea nini hapa? akili kama jiwe kwani hakuna jiwe lililo na uhai ....!!!!
 
Kiongozi wangu vipi??

Niliposhindwa kuelewa ni vipi watu wengi wameshindwa kukuelewa hapa....

Nimekubali wee ni msanii kutoka Sikonge lol


Sikonge ana maana kwamba, mara nyingi watu hapa JF wamekuwa wakilinganisha sana na udhaifu wa mtu na dini yake! Hasa pale kiongozi anapofanya kosa, wa imani ya kiislamu, basi hoja itakuwa ni uislamu na ukosefu wa elimu! Sasa na huyu Lusinde ni Dini Gani?
 
This man ameki-underlet sana chama chake! Asipoadhibiwa kwa mitusi hii basi kutakuwa na tatizo kubwa zaidi kwa wakuu wa CCM. Jamaa hana adabu wala utu! Hii sio tabia yetu Watanzania. Kwa hakika nitashangaa sana tena sana iwapo CCM watapoteza muda kutafuta wabaya waliopunguza kura za Sioi wakati Lusinde amejipambanua waziwazi kuwa ana tatizo kubwa sana ambalo lililopelekea kushindwa CCM.
Angalieni hata CV yake mtagundua hana shule, kwa hivyo hata upeo na uelewa wake wa kuchambau hoja ni mdogo sana.
Nadhani CHADEMA msipoteze muda na huyu jamaa, mkisilkiliza vzr mitusi yake hamuwezi kumuhukumu zaidi ya kumpeleka pale Mirembe akapimwe akili yake mana c kila mtu anayevaa nguo ukadhani amekamilika.
 
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007


No wonder hela za EPA ziliibwa wakati huu.........huyu nae accountant?
 
wanajua. baba yao apelekwe mirembe hospital.
ile mitusi haikubaliki na kama ccm wasipomchukulia hatua kali basi
kutakuwa na tatizo kubwa!
mchawi wakura za sioi ni lusinde.
anaonekana hana makuzi mzuri, pia elimu yake ni ndogo, CDM hakuna haja ya kulumbana naye.
 
The tormenting part of this horrible and unjustifiable public address is for this young Member of Parliament to use dirty words seeking acceptance in soliciting people's power.
It is sad and unacceptable for this MP to act like *&&&^$%%#$%$@@#$@!! -- However -- People's power has taken pace and as you all know his dirty words are irreversible -- definitely ITAKULA KWAKE FOR THE REST OF HIS LIFE.
 
Aisee, ukiangalia ile picha mh wa CCM lusinde akihutubia, utaona watoto wote walipigwa na butwaa! walishtushwa ili khali watu wazima wakichekelea. Aisee kweli watoto wameona huyu jamaa ni mtu wa ajabu, na yamkini hana akili lkn watu wazima wanamuona kama vile ni shujaaa??
 
Ndugu wanajamii,
Nimekuwa nikisubiri kwa hamu kusikia NAPE akitoa tamko la kulaani matusi ya LUSINDE kwa wananchi wa Arumeru na Watanzania kwa ujumla. Imekuwa ni tabia ya NAPE kujitokeza na kutoa tamko kuhusiana na jambo lolote linalogusa chama chake cha CCM kwa uharaka sana. Na hata juzi ilipotokea CCM kuhusishwa na mashambulizi ya makamanda wetu kule Mwanza alijitokeza haraka kukanusha. Nashanga kwa hili la kuwatusi wananchi wananchi wa tanzania kupitia Lusinde amelikalia kimya. hii inadhirisha kuwa sasa CCM ina sera ya matusi na inakubalika kwa % 1000. na isitoshe anaeratibu kitengo hicho cha matusi ni Lusinde akishrikiana na Mwenzake Mwigulu.
 
Back
Top Bottom