Mh. Livingstone Lusinde Under Microscope?

Kilichonifurahisha zaidi ni pale anapokashfu Mimba!
wawawake wanamshangalia wakati anakashifu kuwa na mimba.
Kwa ubinadamu, lazima baadhi ya hao wanawake wana mimba!

The vicious circle continues...

Amesahau hata yeye mama yake alipata mimba hatimaye akatoka yeye.
 
Kitu ninachoweza kusema hapa ni kuwa hii ni aibu.
Tusi ni tusi tu hata litoke kwa nani. Hata mtoto
mdogo akitukana alikuwa anaadhabiwa, lakini leo
kadiri mtu anavyokuwa bingwa wa kutukana, ndivyo
anavyokubalika. Nakumbuka zamani mwanamme
akitukana alikuwa anadharauliwa nakuambiwa
"ana matusi kama m.se.nge", lakini leo anayetukana
anapigiwa makofi na kupongezwa. Lahaula!

Masikini kizazi hiki na vijavyo!
 
MH Mwigulu nakuona,hebu nijibu hili swali.Hivi nyie ndio mlimtuma jamaa yenu awafundishe watoto wa kitanzania MATUSI hadharani?
 
Nimesali na huyu jamaa hapa Kawe Lutheran Church kwa miaka zaidi ya kumi sasa.Ila kwa aliyoyasema...bora umwite hivyo ulivomwita.

Ni kweli alikua anakaa ukwamani huko uswazi..huyu jamaa alikua ni MC kwenye kipaimara changu..hana kitu kichwani completely..nashangaa wanampa promo ya kujadili ***** kama hili...
 
mnaona sasa?
kumbe aliwahi kuwa NEC ya CHADEMA?
na alianzia CUF pia....

ha haaa ilikuwaje CHADEMA wakamuingiza NEC yao mtu kama huyu?

Ningependa pia kujua aliondokaje huko CUF na Chadema. Alifukuzwa au alijiondokea mwenyewe tuu? Kama alifukuzwa ni kwa sababu zipi?
 
Hizi ni baadhi ya Kumbukumbu zake kutoka katika tovuti ya Bunge:

General:

Salutation: Honourable
First Name: Livingstone
Middle Name: Joseph
Last Name: Lusinde
Member Type: Constituency Member
Constituent: Mtera
Political Party: CCM
Office Location: Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927

EDUCATIONS

Mbigili Primary School: 1980 – 1987 - PRIMARY CERTIFICATE
CCM College Ihemi: 2007 -2008 - CERTIFICATE



Nimechunguza vyuo vinavyotambulika kisheria na mamraka zetu kama NACTE na TCU chuo cha CCM Ihemi hakimo. je hiki chuo kiko wapi?

chuo hicho kinatoa mafunzo gani na kwa miezi mingapi?
 
Hizi ni baadhi ya Kumbukumbu zake kutoka katika tovuti ya Bunge:

General:

Salutation: Honourable
First Name: Livingstone
Middle Name: Joseph
Last Name: Lusinde
Member Type: Constituency Member
Constituent: Mtera
Political Party: CCM
Office Location: Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927

EDUCATIONS

Mbigili Primary School: 1980 – 1987 - PRIMARY CERTIFICATE
CCM College Ihemi: 2007 -2008 - CERTIFICATE


EMPLOYMENT HISTORY


Member of Parliament - Mtera Constituency - 2010 -2015



Ministry/Political Party/LocationPositionFrom To
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary



Kweli huyu jamaa Lusinde, tusimlaumu sana maana elimu yake, hasa aliposomea CHETI katika maandishi yaliyowekewa nyekundu ndio tatizo la msingi na hana fikra na kutokuona kwake maadili ya jamii ni lawama kwa waliomfundisha ambao ndio wanaendesha 'siasa za maji uchafu' kama kawaida yao!
 
Ichukuliwe ile clip yake ya matuci apelekewe mchungaji wake na kanisani kwake anakosali.. Ili wajue hata sadaka wanazopokea toka kwake zimechangiwa na matuci..
 
kwa matusi aliyotelemsha huyo jamaa atakuwa anabwia bangi. CCm ishakufa zamani sana.
 
Kisheria, matusi aliyoyatoa ni kosa la jinai. Kutumia Lugha ya Matusi! Jamhuri INAPASWA kumshtaki! Akiwa kwenye shughuli za Chama hana kinga ya Kibunge. Hata akiwa Bungeni HARUHUSIWI kutumia lugha hiyo! Kanuni na Haki za Bunge ZITAMBANA!

Swali: Serikali ya Magamba itamshtaki?
 
Hizi ni baadhi ya Kumbukumbu zake kutoka katika tovuti ya Bunge:

General:

Salutation: Honourable
First Name: Livingstone
Middle Name: Joseph
Last Name: Lusinde
Member Type: Constituency Member
Constituent: Mtera
Political Party: CCM
Office Location: Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927

EDUCATIONS

Mbigili Primary School: 1980 – 1987 - PRIMARY CERTIFICATE
CCM College Ihemi: 2007 -2008 - CERTIFICATE


EMPLOYMENT HISTORY


Member of Parliament - Mtera Constituency - 2010 -2015



Ministry/Political Party/LocationPositionFrom To
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary


Kwanza kabisa naomba jakwaa hili lisitishe matumizi ya neno Mheshimiwa kwa Lusinde, anafaa aitwe "Lusinde Mitusi". Mana kumheshimu mtu asiyejiheshimu ni jambo lisiloeleweka machoni pa wengi.

Elimu ya Lusinde Mitusi inaweza isiwe shida, mana hata ambao hawajaenda kabisa shule wasingeweza kufanya aliyofanya huyu "Lusinde Mitusi". Hili ni malezi mabovu tu toka kwao.
 
Ichukuliwe ile clip yake ya matuci apelekewe mchungaji wake na kanisani kwake anakosali.. Ili wajue hata sadaka wanazopokea toka kwake zimechangiwa na matuci..
Kiongozi wewe unasema kanisani, Mimi ningekuwa naliwania hilo jimbo 2015 kupitia CDM huko Mtera hii clip naisave vizuuuuri, then kampeni za ubunge 2015 zikianza kwenye kila mkutano wangu wa campaign, nawaomba wananchi radhi, nawaambia ashakum si matusi kisha naiproject hiyo clip wakati naandaa andaa points za kummalizia mana hiyo mitusi itasaidia sana kumpambanua huyo jamaa kwa wananchi wake kama bogasi!
 
Lusinde ni aina ya wanasiasa tulio nao ingawa wengine wanatumia tafsida kututukana.

Kwa siye waswahili huwa hatuwaambii watu 'washenzi" bali tunawaambia "wewe si mstaarabu" kwani kinyume cha mstaarabu ni mshenzi. Lusinde si mstaarabu!! Lakini Lusinde katufunga mdomo. Tukisema si mstaarabu kwa sababu yuko CCM tutajishtaki WENYEWE kwani alishawahi kuwa CUF na CHADEMA. Kwa hiyo kutokuwa mstaarabu ni tabia yake aliyojifunza yeye mwenyewe labda ndiyo maana alitoka CUF na CHADEMA!!
 
CHADEMAMember - National Executive Board1995
Kumbe alipotoka CDM ndo akahamia CCM, basi tumeshajua wapi alikojifunza yale anayopractise!

Kuzunguka kote alikuwa anatafuta Chama kilichokosa maadili na kinacho ruhusu kuporomosha matusi hadharani! Kwa hiyo hapo amefika alikokuwa anakutafuta.
 
hizi ni baadhi ya kumbukumbu zake kutoka katika tovuti ya bunge:

general:

salutation: honourable
first name: livingstone
middle name: Joseph
last name: lusinde
member type: constituency member
constituent: mtera
political party: ccm
office location: box 50, dodoma
office phone: +255 755 453327/+255 785 679927

educations

mbigili primary school: 1980 – 1987 - primary certificate
ccm college ihemi: 2007 -2008 - certificate


employment history


member of parliament - mtera constituency - 2010 -2015



ministry/political party/locationpositionfrom to
chama cha mapinduzi, ccmsecretary - tarime district20062010
chama cha mapinduzi, ccmassistant secretary/accountant20062007
chademamember - national executive board1995
civic united front, cufsecretary - kawe constituency19921995
chama cha mapinduzi, ccm
secretary




kumbe jamaa darasa la saba nilikuwa sifahamu.....katiba yetu inasemaje? Standard 7 anaruhusiwa au?
 
Back
Top Bottom