Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,254
- 113,735
Hivi nimesikia "kudadadeki" ama?
Katika jamii zetu kuna namna mbili za kuwatambua vichaa, kwanza maneno na matendo yake au uthibitisho wa daktari. Kwa jinsi Lusinde anavyozungumza mambo ya kijinga ambayo hayawezi kuzungumzwa hata na mpiga debe wa standi, inaniondolea mashaka ya kwamba ni kichaa au si kichaa. Eti hawa kina Lusinde wa CCM ndio tunaowategemea watufikishe kwenye maisha bota! Bofya hapo.
Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru - YouTube
Hivi nimesikia "kudadadeki" ama?
Ehee, mengine aliyosema tupeni kweni wengine tuna Iphone mchina
Katika jamii zetu kuna namna mbili za kuwatambua vichaa, kwanza maneno na matendo yake au uthibitisho wa daktari. Kwa jinsi Lusinde anavyozungumza mambo ya kijinga ambayo hayawezi kuzungumzwa hata na mpiga debe wa standi, inaniondolea mashaka ya kwamba ni kichaa au si kichaa. Eti hawa kina Lusinde wa CCM ndio tunaowategemea watufikishe kwenye maisha bota! Bofya hapo.
Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru - YouTube
This is beyond the pale! CCM should kick him out. He is a disgrace.