Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

Hizi ndio campaign zinazoendelea huko Arumeru ? No wonder, nchi yetu ni shamba la bibi.
 
Sijui hata jimbo lake alishindaje??!!!! Siyo kichaa ila ndiyo sera za CCM hizo.
 
Katika jamii zetu kuna namna mbili za kuwatambua vichaa, kwanza maneno na matendo yake au uthibitisho wa daktari. Kwa jinsi Lusinde anavyozungumza mambo ya kijinga ambayo hayawezi kuzungumzwa hata na mpiga debe wa standi, inaniondolea mashaka ya kwamba ni kichaa au si kichaa. Eti hawa kina Lusinde wa CCM ndio tunaowategemea watufikishe kwenye maisha bota! Bofya hapo.

Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru - YouTube

natamani sna kuwaona watu wa mtera walimpigia kura wanafananaje,kama kati yao walimuona huyo ndio anafaa basi waliompa kura wanatakiwa kuwa mirembe.
 
Eti Dr. Slaa mshamba kwa sababu anavaa kombati kubwa halafu akitembea anatembea kaa kajinyea!! Wow....just wow!!
 
Lusinde anasema Jogoo linatishia kushona gauni wakati lenyewe halina hata chupi...
 
Jamani huyu ni mbunge kweli au wamekosea?. Tunaweza kuwa na watu wa hali ya namna hii anaitwa Mheshimiwa?. Then the word Mheshimiwa has lost its meaning. Ningekuwa CCM leo ningechana card yao.
Namhurumia sana mke wake. Mme wa namna hii hata kuongozana nae shida, maneno ya hovyo hastahili heshima toka kwa mtu yeyote.
 
Lusinde anasema ukimwona mtu ana kichefu chefu au anatema mate au anaichukia CCM jua tayari tushamtia mimba. Na mwisho wa siku watamzaa Sioi.
 
Katika jamii zetu kuna namna mbili za kuwatambua vichaa, kwanza maneno na matendo yake au uthibitisho wa daktari. Kwa jinsi Lusinde anavyozungumza mambo ya kijinga ambayo hayawezi kuzungumzwa hata na mpiga debe wa standi, inaniondolea mashaka ya kwamba ni kichaa au si kichaa. Eti hawa kina Lusinde wa CCM ndio tunaowategemea watufikishe kwenye maisha bota! Bofya hapo.

Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru - YouTube

Whatever you can call Lusinde the buck stops with CCM. Hii inaonesha kuwa CCM hawana argument tena zaidi ya jazba na matusi. Ninakuhakikishia kuwa kama Lusinde angekuwa ni CDM basi saa hizi ingekuwa ni national story na police + tume ya uchaguzi wangeisha mkamata na kuifanya ni top story.

Lusinde siyo tu anaonesha CCM imeishiwa ila anafanya watu makini walipo CCM waonekane nao ni vichaa. Kitendo cha kumsimamisha huyu bwana kama attack dog wa kutukana hakiwezi kutenganishwa na CCM as a whole. Lusinde na CCM wanawafundisha nini watoto waliokuwa wanamsikiliza kuhusu elimu ya uraia?. CCM has to train its 'kadas' on how to agree on the lost election, ushindi kwa vyovyo is the path to the death for the country. Kubali kushindwa rudi kajipange upya mwisho wa uchaguzi mmoja ni mwanzo wa mwingine, ukishindwa leo utashinda kesha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom