Mh. Kingwangala na mkewe wadakwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Duh! Vitumbua na elfu 2?
Ndiyo hongo inayotolewa na SSM kwa wapiga kura. Mkuu umesahau kule Igunga na zile sahani za wali ambao una mchuzi bila nyama? Bei yake ni chini ya 2000 na kura Kafumuliwa alipata na matokeo yake ni yale ya hukumu majuzi.
 
Hivi VIRUSI vya rushwa vimeshakuwa sugu kwa baadhi ya Watanzania.Takukuru haina ubavu kabisa wa kuvimaliza bali watafanikiwa kuvipunguza tu kwa sababu kila kukicha vinabadilika mienendo yake.
 
Ndo kawaida ya CCM. Mwaka 2010 TAKUKURU walikamata sana rushwa kwenye kura za maoni za CCM baada ya hapo wakaenda likizo. Kwani hawa jamaa wanawajibika kwa CCM moja kwa moja? Kama ni kweli shame on you Dr Kigwangala.

Mkuu Mestod, hii tasisi ni ccmTAKUKURU pamoja na kwamba inaendeshwa kwa kodi za wananchi, lakini ni kitengo cha ccm kama vile UVCCM. Hawa kazi yao ni kuwakomoa wale ambao ccm haiwawataki katika kupitisha majina yao, pamoja na kwamba walioko chama cha magamba wote wananitia kichefuchefu kwa hili lazima tuamini kuwa jamaa kapakaziwa.
 
Sasa hiyo ni rushwa au ukarimu? Nyie Takukuru hebu jaribuni kuwa na akili ili msiwe mnapelekwapelekwa tu. Kwahiyo na mimi nikimkaribisha mtu nyumbani kwangu na kumpa chai na vitumbua basi nakuwa nimetoa rushwa? Come on TAKUKURU!

Naona tiyari nyumba ndogo zimeishakaa mkao wa kutetea hapa, chezea Kigwa weweee!!
 
Vitumbua??????

vitumbua1.jpg

Yeah! hivi ndio vitumbua, TAKUKURU WANATUCHEZEA...
 
huko tabora maisha ni magumu sana nzega wamepokea rushwa ya vitumbua igunga sado ya mahindi kipindi cha uchaguzi huko si kuwadhalilisha wapiga kura wao.sipati jibu hivyo vitumbua ukipewa unakula hapo hapo au unapeleka nyumbani.
 
Aisee,sikujua kama mbali na utabibu jamaa ni mpika vitumbua mzuri.Kweli nchi hii tunashindwa kulea vipaji.Halafu jamaa ni Mchumi mzuri sana,nafikiri angekua Ikulu angekuwa anatumia hela zetu vizuri sana.
My take: CDM mtakapoenda Igunga wakati wa kampeni gharama kule ni ndogo tu Mpiga kura=Kitumbua.Waacheni CCM wapike pilau.Nyie kodisheni wamama wote kwa ajili ya kupika Vitumbua, yaani hiyo mtakua mmeua ndege wawili kwa jiwe moja.Mtawapa wamama ajira ya kupika vitumbua, na watawapeni kura zao na kisha mtapata na kura za wateja wao( wala vitumbua)Hongera Kigwangala kwa Ubinifu kwani pilau ni Ghali halafu linachelewa kuiva.
 
MAANDALIZI_YA_CHAKULA%2B%25281%2529.JPG


Hii ni kawaida yao, ubunge IGUNGA tuliona hata picha za USA Kinana tulimuona, Rushwa ya chakula, KAWAIDA.
 
Duh watu wanauza utu wao kwa ghalama rahisi yaani vitumbua na buku 2 mtu anakubali kununuliwa!
 
MAANDALIZI_YA_CHAKULA%2B%25281%2529.JPG


Hii ni kawaida yao, ubunge IGUNGA tuliona hata picha za USA Kinana tulimuona, Rushwa ya chakula, KAWAIDA.


Kumbe ndiyo maana yule Nepi tumbo lake limefutuka vile, yaani magamba bana hata dume linaweza olewa kwa sahani ya ubwabwa.
 
Sasa hiyo ni rushwa au ukarimu? Nyie Takukuru hebu jaribuni kuwa na akili ili msiwe mnapelekwapelekwa tu. Kwahiyo na mimi nikimkaribisha mtu nyumbani kwangu na kumpa chai na vitumbua basi nakuwa nimetoa rushwa? Come on TAKUKURU!

ukarimu wakati huu wa uchaguzi? hiyo ni rushwa hakuna cha kutetea hapo acha sheria ifuate mkondo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom