Mh. Kingwangala na mkewe wadakwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.

Fisadi Mtoto

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
639
79
Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu mbili mbili kwa wapiga kura wa chaguzi za jumuhia ngazi za Wilaya.

Bado wanaendelea kuhojiwa ofisi za Takukuru Wilaya
 
Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu mbili mbili kwa wapiga kura wa chaguzi za jumuhia ngazi za Wilaya. Bado wanaendelea kuhojiwa ofisi za Takukuru Wilaya

Pia Wamuulize Mtihani wa Darasa la Saba aligushi jina la MTU ni kosa la JINAI kwahiyo ni kesi akishindwa anapelekwa JELA MIEZI

10... LOL How nice... Kijizi hicho... za Mwizi Arobaini...
 
Ndo kawaida ya CCM. Mwaka 2010 TAKUKURU walikamata sana rushwa kwenye kura za maoni za CCM baada ya hapo wakaenda likizo. Kwani hawa jamaa wanawajibika kwa CCM moja kwa moja? Kama ni kweli shame on you Dr Kigwangala.
 
Huwa anajiona Msafi kweli kijana anagawa vitumbuwa hii ni aibu. CCM mnapigia mtu kura kisa amekuapa 2000 na kitumbua? Shem on YOU.
 
Takukuru mkoa wa Tabora inaonekana ni imara kuliko takukuru head quarter, nakumbuka waliwahi kumkamata mama magreth sitta usiku wa manane akigawa rushwa.
ILE SHERIA YA VIBOKO 12 BADO IPO ? kigwangala akaoneshane na mkewe wakitoka jela.!
 
Dah this is too low kwa Dr.....anahonga vitumbua! Kikiingia mchanga jee? Kama yeye anahonga kitumbua akipata hicho cheo si anaweza kuhongwa utumbo wa kuku huyu! Aibu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom