Mh. Kingwangala na mkewe wadakwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu mbili mbili kwa wapiga kura wa chaguzi za jumuhia ngazi za Wilaya. Bado wanaendelea kuhojiwa ofisi za Takukuru Wilaya
Hii habari ina ukweli kiasi gani? Isije ikawa ni 'siasa za majitaka' tu!
 
Siamini kama imefika mahali mtu anatoa kura akibadilishana na kitumbua!!!dangerous!!
 
Pumbafu kabisa buku bee? kama ni mimi naanza kukamata hao wanaopokea buku beee, chapa bakora kabisa ndio nije kumkata shingo huyo kidume wao
 
Ritz , na wewe unashangaa tena. I thought you should be the last to comment. kwani na wewe si mmoja wao. unashangaa nini tena. kwani sindiyo mnaiita takrima au?
Tena nasikia vya mayai ya kienyeji.
 
Sosi pliziiii
Tulishaambiwaga waziri kakatwa mkono singida tukaropoka yoooote bila hata kudadisi ukweli wa habari yenyewe, mwisho wa siku hamna kitu
Just asking................
 
Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu mbili mbili kwa wapiga kura wa chaguzi za jumuhia ngazi za Wilaya. Bado wanaendelea kuhojiwa ofisi za Takukuru Wilaya

Unfortunately for someone like Kigs I can't say I will be very surprised if this turns out to be true.
 
Bashe naona kajipanga this time mpaka kieleweke na huu ni Mwanzo tu magamba mpaka yatachanganyikiwa
 
Kwi! Kwi! Kwi! chama kimebaki na viongozi wahonga vitumbua,mandazi,wali,dengu,bajia kweli SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA.
 
Tena nasikia vya mayai ya kienyeji.
unashanga nini kusikia Vitumbua? Kwani wewe kila post Nepi na Mwigulu anakulipa sh.ngap? we si wale wale wa cheap ? wanakutumia tu hapa JF kama nani hii....
 
Huwa anajiona Msafi kweli kijana anagawa vitumbuwa hii ni aibu. CCM mnapigia mtu kura kisa amekuapa 2000 na kitumbua? Shem on YOU.

NJaa ni mbaya sana,usiombe kushikwa na njaa.Unaweza kujikuta unatoa haki yako bure kabisa!
 
Hiyo ni sunna kaitimiza, btw kigwa na mkewe wamegawa "kitumbua" gani? Majibu tafadhari
 
vitumbua.jpg

watu wa CCM ni Cheap sana anza na waliopo JF
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom