Mh. Kingwangala na mkewe wadakwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Kumbe ndiyo maana yule Nepi tumbo lake limefutuka vile, yaani magamba bana hata dume linaweza olewa kwa sahani ya ubwabwa.
we said mkuu, Toka Bongo mpaka USA yale yale tulidhani wabeba mabox wa CCM wana busara kumbe wapi. shame on you NyinyiEM!

CCM+DMV+219.JPG

Dr. Kingwangala yupo sahihi huu ni mfumo wa CCM kuhonga Chakula... Bashe wewe utahonga nini?
 
To me i think siyo rushwa..ilikuwa ni ukarimu wake tu. Maana jamaa ni mkarimu sana yaweza kuwa alipita mitaa kaona jamaa wananjaa akaamua kuwagawia vitumbia but ideally it was not corruption. Alishindwa kujizua akabidi afanye Liwalo na Liwe..! big up Kigwa..
 
Takukuru wamemvurigia dili mpika vitumbua,maana alipa mteja wa kuvinunua kwa jumla.
 
we said mkuu, Toka Bongo mpaka USA yale yale tulidhani wabeba mabox wa CCM wana busara kumbe wapi. shame on you NyinyiEM!

CCM+DMV+219.JPG

Dr. Kingwangala yupo sahihi huu ni mfumo wa CCM kuhonga Chakula... Bashe wewe utahonga nini?
Bashe anawaandalia bagia na chai ya maziwa,ccm ni mwisho kwa rushwa.
 
Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu mbili mbili kwa wapiga kura wa chaguzi za jumuhia ngazi za Wilaya. Bado wanaendelea kuhojiwa ofisi za Takukuru Wilaya
 
Siasa za majitaka na kudhalilisha wanatabora,ebu pelekeni huko siasa uchwara.
 
Ndio na elfu mbili ndo sera za chama chetu wala usijali mkuu mbona umeshtuka sana..? Ndo ilani yetu ya kwenu cdm hamtoi litu au... Au ndo nyie watu wa kuanza na mungu na kumaliza na mungu? Hongereni sana sisi tulianza na mungu tutamaliza na shetani........
Vitumbua??????
 
Unfortunately for someone like Kigs I can't say I will be very surprised if this turns out to be true.
Rushwa ni culture ya ccm,huoni kuna wanaoshangaa eti kwasababu ni vitumbua?huyu wamemtega maadui wake wa kisiasa humo ndani ya lichama lao la magamba.
 
Vitumbua 2000 ha haa haaa rushwa zingine bana inabidi mtu ucheke tu.

Mkuu unajifanya huujui utamaduni wa Chama Chenu........., au kwa kuwa we umezoea kupata rushwa za kuvimbisha bahasha unawacheka wenzio wa vitumbua
 
To me i think siyo rushwa..ilikuwa ni ukarimu wake tu. Maana jamaa ni mkarimu sana yaweza kuwa alipita mitaa kaona jamaa wananjaa akaamua kuwagawia vitumbia but ideally it was not corruption. Alishindwa kujizua akabidi afanye Liwalo na Liwe..! big up Kigwa..
Wakati wa uchaguzi watu wenye roho nzuri huongezeka sana...particularly wanasiasa..!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom