Mkuu very sory ila hii AVATARA yako inanichefua sana nikimwona huyu bwana wa vijicent!
YAANI NAKUMBUKA ILE SIKU ILIYOKUWA USAFIRI UENDE MBEYA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA NDO HIYO HIYO SIKU ULITAKIWA UENDE MAKAO MAKUU YA POLISI HAPA DAR KUTOA MAELEZO YA KUTISHIA KUMUUA RUGE WA CLOUDS KTK WIMBO WAKO WWA ANTI VIRUS.. I WANNA KILL RIGHT NOW.......TEHE, ILA MWISHO WA SKU MSHINDI UNAAPA BUNGENI LEO.......WISH YOU ALL THE BEST MAN...
Sio Clouds kwa Ujumla wake...yeye hana beef na mmiliki wa Clouds ila wafanyakazi wa clouds esp. Ruge......Ila kuna wimbo flani aliimba hivi "Kuna kitu kimoja ambacho watu hajajua, Huwezi kuzuia mvua, Sugu ni kama mvua kama kunyesha nanyesha......."Hivi clauds FM, watakoma na HAIBU YAO,
mkuu nakubaliana na wewe! jamaa hafai kabisa hata uelewa wake ni mdogo yule meya!Sio wizi wa mbolea za ruzuku tu. wale madiwani wa chama tawala wakiongozwa na meya wao kihiyo walijaa ubingwa wa wizi katika kila sekta iliyopo katika jiji la mbeya hence kudumaa kwa mji. nasikia huyo meya bomu kachukua fomu tena ya kugombea umeya!! chonde chonde madiwani wapya na wale wa upinzani unganeni kumtoa mdhalimu huyu. Akipeta basi SUGU una kazi moja ya kudhibiti wizi wa huyu jamaa ambaye hana vision na mji wa mbeya. wana mbeya wana kiu ya kupata mabadiliko ndo maana SUGU umezoa kura nyingi sana. Do not let us down!!
mkuu very sory ila hii avatara yako inanichefua sana nikimwona huyu bwana wa vijicent!