Mh. Iddi Azan anafanya biashara gani?

Langu kwa leo ni kutaka mnisaidie kufahamu, Mh. Iddi Azan mbunge wa Kinondoni anajushughulisha na biashara gani hadi kupelekea kumiliki vitu vingi vya thamani kubwa kama magari ya kifahari sana kuliko mbunge yeyote hapa Tanzania na hadi kulingana na wafanyabiashara wakubwa.

Ni Mbunge wa Kinondoni.
 
Kwani kumiliki magari ya jifahari ni nini kama mna wasiwasi naye mchinguzeni sio kuanza kumuongelea mtu kwa vitu alivyonavyo bhana.
 
Hapa nimeamini kale kamsemo ka wahenga: lisemwalo lipo, kama halipo.......
Kumbe ni suala la muda tu: wanaotumwa na wanaotuma kunyofoa kucha, wanaotengeneza na kuappload video za ugaidi, wanao.....
 
niliwauliza siku moja vijana wa popo bawa na migomigo magomeni kuhusu Idd Azan kama mbunge wao. nilishiba! Kafanye karesearch maeneo hayo utanyamaza mwenyewe.
 
Tanzania ni nchi ya maajabu (THE EIGHTH WONDER)
Ukianza kujiuliza maswali kuna two things involved either hutopata majibu au utachanganyikiwa
ya ngoswe muachie mazoea
 
Article by john w ina attachment y mfungwa mmoja aliefungwa huko hong kong ameeza meng na kutaja jina hilo pitia utaona na utajua meng hyo article inaitwa drag mules
 
Hii ni aina ya kutaka kuibua chuki ama siasa laini (cheap politics)... Bainisha nini una hofu nae? Maana hujasema anamiliki nini
 
JF noma....huyu jamaa anauza unga ila sijui mahindi yake analima wapi au anamuunga mkono rais wake juu ya kauli mbiu ya kilimo kwanza?kulima na kuuza unga china

hahahah Mkuu si unajua tena na Mpango wa SAGOT and Sister Mosanto!? analima mahindi Pakistan na Kuuza SA na China! wakati mwingine tukiwa na upungufu wa chakula huwa anauzia humu nchini kwa bei ya punguzo kwa amri ya Mkuu!
 
Back
Top Bottom