Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
Huyu juu ndiye Idd Azan
Mussa Azan Zungu
Hii jina la Zungu alilipataje? kuna anayejua history yake kiundani?
Huyu juu ndiye Idd Azan
Mussa Azan Zungu
Hii jina la Zungu alilipataje? kuna anayejua history yake kiundani?
EDUCATION
LOCATION
COURSE/DEGREE/AWARD
START DATE
END DATE
LEVEL
Dar City College
Diploma (Management)
2004
2005
DIPLOMA
Local Government Training Institute - Hombolo, Dodoma
Certificate
2003
2004
CERTIFICATE
Eastern & Southern African Management Institute (ESAMI)
Certificate
2002
2004
CERTIFICATE
Institute of Adult Education - Dar es Salaam
Secondary Education
2002
2003
SECONDARY
University Computer Centre
Certificate in Computer Course
2001
2001
CERTIFICATE
Magomeni Primary School
Primary Education
1977
1979
PRIMARY
Vuluni Primary School, Mombo
Primary Education
1973
1976
PRIMARY
Dah,
CV yake iko fresh sana,
Jamaa yuko smart sana,
Kweli wasomi tunao taifa hili...
Anafanya biashara ya Siasa
Langu kwa leo ni kutaka mnisaidie kufahamu, Mh. Iddi Azan mbunge wa Kinondoni anajushughulisha na biashara gani hadi kupelekea kumiliki vitu vingi vya thamani kubwa kama magari ya kifahari sana kuliko mbunge yeyote hapa Tanzania na hadi kulingana na wafanyabiashara wakubwa.[/QUOTE
Tetesi from this source:
http://www.frankmakange.com/2013/07...kamatwa-na-madawa-ya-kulevya-hong-kong-china/
Ritz, Lukosi, Thatha na wengine huwa hamuishi kumsakama Lema kwa tuhuma za uhalifu ingawa hamna ushahidi.
Leo kuna kitu kinafanana na ushahidi humu......kikimhusisha Mbunge wenu Iddi Azzan na pia chama chenu na serikali yenu.
Ni muhimu mngekuja huku na kuonesha rangi zenu bandugu!
Hii jina la Zungu alilipataje? kuna anayejua history yake kiundani?
Yametimia mchungaji Masanilo
Zungu ni karadi wa Kijerumani na Mswahili........Ni mweupe ati?
Moderator mfungulieni Masanilo kama mlimfungia kwa post hii...maana viashiria vya huyu jamaa kushiriki uharibifu wa kizazi chetu upo.Drugs dealer! Alikuwemo kwenye list ya Amina Chifupa (RIP)
Dah,
CV yake iko fresh sana,
Jamaa yuko smart sana,
Kweli wasomi tunao taifa hili...
Mojawapo ya raslimali za ndesa ninazojua ni kumiliki hoteli za Key's hotel hapa Tanzania na nje ya nchi
-kumiliki helcopta