Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
anasema MUUNGANO HAUNA FAIDA YOYOTE KWA WANANCHI,
sasa mkuu wakifanya hivo sisi watu wa kawaida tutelewaje maana taarifa ya kuambiwa na mtu ni tofauti na kusikia mwenyewe.. Mi naona wako sawa ili hata sisi tujue kinachoendelea kwenye chama kuliko kusoma taarifa za magazetiHello Yahya, nina concern moja:
Jana wakati akiongea na vyombo vya habari, makamu wa rais wa Zanzibar (wa kwanza) alisema haoni kama ni busara kuzungumzia mambo ya chama kupitia vyombo vya habari hususani magazeti na badala yake watumie vikao vya chama; Jem Mh. Hamad Rashid haoni kwamba anatakiwa kutumia vikao vya chama kueleza madukuduku yake kuliko kuendeleza malumbano kupitia vyombo vya habari.
Hili usiulize Yahya, za mbayuwayu changanya na za kwako!
naona hamad anasema katiba ya jamuhuri ya muungano inasaidia kuleta migogoro kwenye vyama kwa kuwa inalazimisha watu wawe kwenye vyama ili waweze kuwawakilisha wananchi, matokeo yake ni kwamba watu ambao hawana interest na vyama wanalazimika kuwa wanachama wa vyama flani.
Hii ina maana analaumu kwanini mgombea binafsi hajaruhusiwa?
Kuna maswali ukimwuliza mtu unaweza kumfanya aweweseke au apotee kabisa kwenye hoja.Hahahahahah,
invisible acha kuziba mid0mo watu
MGOGORO ULIOPO NDANI YA CCM UNAUONA KWELI? Dont focus on opposition onlykwa ni nini vyama upinzani nchini vimekuwa vikiandamwa na migogoro,je inasababishwa na wana chama wenyewe ama mamluki kama wanavyodai wenyewe?