Mh.Freeman Mbowe wa CDM ndiye huyu ?

Kwa kuongezea tu uliyoyasema,
Ni kamanda mbunifu wa matumizi ya ndege, ccm wakamzomea, mwisho nao wakalazima kuiga ubunifu wake.
Ni kamanda aliyeanzisha M4C arusha na sasa zinatikisa nchi nzima.
Ni kamanda wa aliyeanzisha sare za chama.
Kwa ujumla ubunifu wake ndio imekuwa nguzo muhimu kwa ukuaji wa chadema. Bravo.
ni muanzilishi wa ipad ndani ya bunge,sisiemu nao wakaiga,kujionyesha kua wanajua sa hivyovitu,kigoma malima akaja na ipad,galax tab,blackberry aina tatu za bei,aibu iliyoje?madudu yote hayo anatumia saa ngapi na anakua na muda wakufanya mambo mengine mudagani.ushamba mzigo jamaa sijui kabila gani yule!!
 
Mimi kanifurahisha jinsi anavyokwenda na mahitaji ya wakati. anapotakiwa kuongea kwa utulivu anafanya hivyo. katika mikutano ya hadhara anaweza kuongea kwa sauti kali inayohamasisha na kusisimua. anaweza kujenga hoja polepole na kuacha nguvu ya hoja isimame. anaposhambuliwa kwa matusi bungeni, mfano kuna wakati nilimsikia mbunge mmoja wa CUF anamuita mcheza disko, anakuwa mtulivu na ku-ignore, with maximum impact. anajua wapi akae kimya, wapi atoe tamko. kila la heri kamanda!!


For sure anajua ku-identify audience na kuenda kadiri inavyotakikana......Sifa kubwa ya kutokuwa na jazba na flexible anapotakiwa ku-adjust. Pia kukubali kumwachia katibu wake agombee urais 2010 badala ya yeye chairmana kama ilivyozoeleka ni maturity ya hali yajuu na anaonyesha hana superiority wala inferiority complex bali ana objective decisions. Nina mu-admire sana jamaa!
 
Hivi mnapigia debe kafanya nini TZ? Hela yetu ya NSSF karudisha? Sera ya chama chake ni Nini? (Kupiga kelele jukwani haisadii mtu}Wadanganyika mnazidi kudanganyika TRULY PATHETIC !!!
 
Hivi mnapigia debe kafanya nini TZ? Hela yetu ya NSSF karudisha? Sera ya chama chake ni Nini? (Kupiga kelele jukwani haisadii mtu}Wadanganyika mnazidi kudanganyika TRULY PATHETIC !!!

Pathetic ni ninyi mliomchagua Kikwete bila kujua kuwa lijamaa lina tamaa ya kuifisidi Tanzania nzima.
 
so nani zaidi, Mbowe au Slaa? Na nani anafaa kuwa rais? Au ndo kampeni za urais ndani ya chama zimeanza?
 
Sitaki kuamini mkurugenzi upeo wako ndo umeishia kufikiria huu utumbo.All in all ni kiongozi ambaye hata Mimi namkubali.
Laiti ingelikuwa amri yangu ningependekeza Mbowe awe Mkiti wa kudumu huku Dr Slaa awe Katibu mkuu wa kudumu
 
Jamaa alinifurahisha alipomkosoa DogoJanja kwenye Jukwaa Arusha. Magamba huwa hawawezi hilo ndio maana kibajaji alikuwa namwaga matusi wao wanashangilia tu badala ya kumkosoa kuwa kateleza na hili liliwagharimu Igunga. Vuta picha ya Igunga then utaona Mbowe ni kiongozi wa aina gani ukiwalinganisha na CCM
 
so nani zaidi, Mbowe au Slaa? Na nani anafaa kuwa rais? Au ndo kampeni za urais ndani ya chama zimeanza?

Mwanachama yeyote wa CDM mwenye sifa ya kugombea kuwa Raisi anafaa kuwa Raisi ikiwa pamoja na Mbowe na Slaa. Chadema hakuna ile hali kuwa Mwenyekiti lazima agombee urais kulingana na wakati na mazingira watateua aliyebora agombee. Wakati ukifika atateuliwa mgombea anayeonekana anafaa
 
Mnamshabikia mpiga Disco kweli nyinyi ni wachovu khaa

Biashara yake ina tofauti gani na nyingine katika tasnia ya burudani. Ni halali, inalipa kodi na ni endelevu. Wewe unafanya biashara gani? Usiwe na wivu kazana na wewe uwe na biashara halali ndugu uboreshe maisha yako na wanaokutegema badala ya kubeza za wenzako.
 
chadema ina hazina ya viongozi lakini kwasasa Mbowe tuna mhitaji sana hapo juu, uongozi wa aina ya mbowe tunauhitaji sana, ukibahatika kukaa nae angalau saa moja utaweza kujua mbowe ni mtu wa namna gani na tanzania tumefika hapa kwa kukosa viongozi wa aina ya mbowe..
 
Ni kitambo toka afahamike kama mtu machachari na anayejiamini na msimamo endelevu kwa manufaa ya wengi


Hakika ni wachache wenye ujasiri huu, au kuishi ndani ya siasa bila kuchuja kwa muda mrefu kama alivyo kamanda huyu.


Mh. huyu kwa sasa ameanza kugusa wengi hususani wazee na vikongwe ambo awali walikua waogopa upinzani hususani baada ya kujiimarisha katika kutoa hoja na kuzitetea kwa kujieleza kwa umahiri mkuu.


Kaka Mbowe kwa sasa anaonekana kuwa ameiva katika kufikisha ujumbe kwa makundi mbalimbali...hu ndio uongozi kaka yangu.


Nimekufuatilia toka january mwaka huu hadi sasa...kwa kweli umenikosha kwa staili yako nzuri ya siasa na uwezo wakuteka mass... heko kwa hili


Lamsingi hapa tunamwomba Mh. awaelekeze baadhi ya makamanda wa juu yuu ya umuhimu wa siasa zipendwazo ambazo kwa kweli hapa CHADEMA wanasimama kama wanaharakati wa Taifa hili changa ila lililozeeka kwa ukosefu wa ubunifu wa maendeleo ya kweli.

Kuna aliyevuliwa ubunge kule kaskazini, anaonekana kuwa bado na siasa zenye madoa kidogo lamsingi hapa awateke vijana au sijui ni kwamba ni nia ya Chama kujaribu kuteka watu wa kada mbalimbali kwa wasifu mbalimbali.


Je hapo alipo pametosha au tusubiri mengi mazuri toka kwake ktk elimu ya M4C?



Bravo HQ Leaders.......peoplesssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss''''sssssssssssssssssssss'

Unavyo muona ivyo, kuna watu wanaomchukia kama na WEWE USIVYOMPENDA LEMA LAKINI MIMI NAMPENDA NA KUTOKUA NA UOGA NDIO KUMENISABABISHA. Amen
 
ni muanzilishi wa ipad ndani ya bunge,sisiemu nao wakaiga,kujionyesha kua wanajua sa hivyovitu,kigoma malima akaja na ipad,galax tab,blackberry aina tatu za bei,aibu iliyoje?madudu yote hayo anatumia saa ngapi na anakua na muda wakufanya mambo mengine mudagani.ushamba mzigo jamaa sijui kabila gani yule!!

Acha uongo wewe mtu wa kwa kutumia iPAD bungeni ni Zitto Kabwe.
 
Back
Top Bottom