Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,047
- 20,412
Wakati Mh Samia Suluhu yupo nje ya nchi kikazi , Paul Makonda anatumia ziara zake ambazo zimepewa jina la 'OPERESHENI CHAFUA MBOWE" kujijenga kisiasa na siyo kujenga chama wala bosi wake , yaani mwenyekiti wa chama.
RC na WAZIRI hawana mamlaka hata ya kumfukuza mtu kazi. Ila wanaweza kuinfluence wenye mamlaka waanze mchakato huo!
MAKONDA hajawai kuwa Mtumishi wa Umma, ni kijana tu wa Mtaani na UVCCM na hajui lolote Nje ya Nafasi za uteuzi. Hazijui standing orders ndiyo maana anaita wataaluma, kuwatukana na kuwafukuza.
Makonda Anautafuta kwa kutumia jina la DR SAMIA na jina la Dr MAGUFULI, na tena akitumia mikutano style ya Dr Magufuli wakati itifaki haimpi nguvu ya kuwaamrisha na kuwawajibisha watumishi wa Umma
Yeye kama kiongozi wa CHAMA hapaswi kuwahoji watumishi wa umma walio katika TECHNICAL TEAM angaweza kuwahoji watumishi wa umma waliopo kwenye Administration kama RAS, RMO na wengine wenye majukumu ya kusimamia SERA.
Hakika kama bado ningekua huko, hata kwenda kwenye mikutano au kuitwa kuhojiwa naye NISINGEENDA , standing ORDERS zinajieleza mtumishi wa Umma anawajibika kwa nani
Magufuli alikua ni RAIS, huyu hana mandate ya kuita ma Police , Madaktari na Wahandisi kuwahoji.
Siasa IPO na ndiyo inaamua maisha yetu, ila SIYO TUBEBWE NA PROPAGANDA za Makonda ambaye tunajua kabisa ni muongo na anatafuta umaarufu, mpaka tuache kila kitu tubaki tunamjadili yeye.
1. Anasema Chadema wanataka kubadili katiba ili kuwaongeza waaunge wawe 740 , wakati CDM wamesema idadi ya wabunge ipungue chini ya 320 kama ilivyopendekezwa na Warioba.
2. Anasema MAANDAMANO hayatakiwi, maana yataua utalii wakati yeye anaandamanisha watu kila siku mkoa kwa mkoa, amefunga barabara toka - KIA- mpaka Arusha , watalii wamechelewa ndege, wanaowahi Ngorongoro , wanaowahi ku-connect ndege
Anapaswa kuwaripoti kwa MKUU wa MKOA na mkuu wa Mkoa amwambie RAS na WAKURUGENZI au WAKUU WA IDARA washuhulikie kero tajwa. Ila si kwa Makonda kujifanya yeye ni JAJI